Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,240
- 44,485
Kila nikiyasoma ya akina Charles Taylor,na yaliyompata Gaddafi na wengine wengi huwa naonaga kiti kile ni fantasy tu .. mambo yakiamua kukugeuka unajiuliza hivi mimi kweli nilikuwa Rais?.. noma sana... Suleiman alikuwa sahihi aliposema kila kitu ni ubatili mtupuNa. M. M. Mwanakijiji
Askari wanapokuja kukukamata wanajitambulishaje? Unajuaje watu waliokusimamisha au wanaodai kuwa ni "maafisa usalama au askari" kweli ni maafisa usalama? Je, ukiwa na mashaka nao unaweza kupiga simu namba gani au umpigie nani kuuliza?
Watanzania katika mazingira ya utekaji tumekubali kuwapa uhalali kwa bunduki. Yaani, mtu akikusimamisha huku amebeba bundling au wakiwa kwenye gari wanamchukua mwenzenu kisa tu Wana bundling inabidi mkubali kwa kudhania wanaofanya hivyo ni maafisa wa usalama. Matokeo yake tunawapa uhalali kwa bunduki (the gun mandate).
Imefikia mahali kuwa hata kama hakuna uchaguzi halali umefanyika tumekubali kuwapa uhalali kwa sababu kuna vimulimuli, ving'ora na saluti!! Na was wanajua hili. Hawaitaji kutushawishi tena kwa maneno wala kwa hoja. Ushawishi siyo tena wa nguvu za hoja Bali hoja za nguvu. Wanasema mwenye nguvu mpishe!!
Tukumbuke kuwa Muammar Gadaffi alikuwa na vimulimuli, ving'ora. Na saluti;
Mladic Generali wa Kiserbia aliyekuwa anatumikia kifungo cha maisha ICC alikuwa na vimulimuli, ving'ora na saluti!;
Hosni Mubarak alikuwa na vimulimuli, ving'ora na saluti;
Utawala wa Samia hauwezi kutegemea hofu, woga, wasiwasi, nabkutokuaminiana. Hauwezi kushinda nguvu za hoja kwa kutegemea hoja za nguvu za risasi! Watampigia saluti, wataapishana na misafara yao itaongezwa vimulimuli na ving'ora!
Lakini maswali yatabakia...na hayatojibiwa mpaka yatakapojibiwa kwa hoja!!! Na mengine yataendelea kuja! Hayaishi mpaka yaishe!!
Haya pigeni saluti!!!
Kila nikiyasoma ya akina Charles Taylor,na yaliyompata Gaddafi na wengine wengi huwa naonaga kiti kile ni fantasy tu .. mambo yakiamua kukugeuka unajiuliza hivi mimi kweli nilikuwa Rais?.. noma sana... Suleiman alikuwa sahihi aliposema kila kitu ni ubatili mtupu
Wanakuja Ila Sasa vitu vimekuwa interesting..shahidi nambari moja ni huyu Nchimbi.Yni naham sana kujua huko ICC whats going on
Mkuu, kuja wafike hao ICC si tayari 2030 itakuwa hii hapa and mambo yatakuwa yaishachange pakubwa sana, huoni kwamba watatoboa.Wanakuja Ila Sasa vitu vimekuwa interesting..shahidi nambari moja ni huyu Nchimbi.
In order to prosecute a devil you better go to hell to get a witnessWanakuja Ila Sasa vitu vimekuwa interesting..shahidi nambari moja ni huyu Nchimbi.
DuhIn order to prosecute a devil you better go to hell to get a witness
Utanifanya na mimi nianze kumpenda ☺️☺️Wanakuja Ila Sasa vitu vimekuwa interesting..shahidi nambari moja ni huyu Nchimbi.
Nahama CCM mnanishauri nini?
In order to prosecute a devil you better go to hell to get a witness
Nimechoka chama kinaenda shimoniUhame na uchawa umuachie nani?
Nimechoka chama kinaenda shimoni
Haiko mbali kwetu hapaKila nikiyasoma ya akina Charles Taylor,na yaliyompata Gaddafi na wengine wengi huwa naonaga kiti kile ni fantasy tu .. mambo yakiamua kukugeuka unajiuliza hivi mimi kweli nilikuwa Rais?.. noma sana... Suleiman alikuwa sahihi aliposema kila kitu ni ubatili mtupu
KAZI ipoWanakuja Ila Sasa vitu vimekuwa interesting..shahidi nambari moja ni huyu Nchimbi.
Baki huko huko.Nahama CCM mnanishauri nini?