There is a company hired to perform such a task either push mobile or else! Not everything is done by vodacom themselves...hivi VodaCom wamekosa maswali ya kuuliza yenye tija kwa wateja wake?
There is a company hired to perform such a task either push mobile or else! Not everything is done by vodacom themselves[/QUOTE Jumapili jana Vodacom ilitoa Sh.5,000,000 kwa mshiriki 1! Endelea kujibu na hamisha pointi zako 302,340! Unaweza kuwa mshindi wa wiki hii Sh.5,000,000!
== =
Hamisha 1,914,690pts zako zote:
Wema Sepetu na Diamond Platnumz kudaiwa kurudiana! KWELI au SIO KWELI?
1.Penniel Mungilwa
2.Aunt Ezekiel
Tuma 1au2 kwenda 15544!
WIKI MPYA! NAFASI MPYA!
Jina lako linaweza kuwa kati ya washindi! Jibu swali linalofuata UPATE pointi 600 ZAIDI! SHINDA Pikipiki 30 na Sh. 17,000,000 WIKI HII!
Sishauri mtu yeyote makini kujihusisha na hizi promo za makampuni ya simu, ni kujithibitisha kwa wewe ni mjinga.
Unatumiwa sms kwamba namba yako imeshinda badala ya kuambiwa zawadi yako unaanza msululu wa utapeli ujibu maswali huku unakatwa pesa huku ukipumbazwa kama zuzu kwamba unakaribia kushinda!