Umenichekesha sana. Hivyo vilorry ubabe wake nchi kavu tu huku baharini ni kamzigo kadogo hako. kwa mfano meli za kubebea magari zenye urefu wa mita mia mbili inaweza kushusha vilorry hivyo elfu mbili au elfu tatu kwa bandari hii tu na magari mengine bado yanaenda kushushwa bandari zingine