Vimbwanga vya binadamu . !!

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,920
Unaweza kufunga shughuli zako,au kuomba ruksa kazini kwako kama tu utasikia au utapewa taarifa kuwa mtu unaemfahamu amefariki au amefiwa na ukaenda msibani hata kama ni mbali
'
Lakini inakua vigumu kufanya hivyo unaposikia anaumwa au anauguliwa
'
Kwanini?
'
Kipi kinauzito mkubwa?
 
kifo ni muhimu
sababu maiti itaoza isipozikwa
mgonjwa anaweza kwenda mwenyewe hospitali
au kupata nafuu
 
kifo ni muhimu
sababu maiti itaoza isipozikwa
mgonjwa anaweza kwenda mwenyewe hospitali
au kupata nafuu

Mkuu aaaa yu siriaz?Yua kiding raiti?
 
Bila kusahau michango ya mazishi watu wanatoa mamilion,, wakati anaumwa matibabu hawachangii hata senti..

Si ajabu ile michango yao ingetumika vizuri ingemsaidia mgonjwa matibabu na hata kuepusha kifo chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…