Yaani utopolo akili zenu zinafanana ndo maana mliitwa manyani na yule jamaa hivyo vitu vya kawaida vinafanyika sehemu zote duniani hata sisi tulipoenda kwa plateau tulifanyiwa mauza uza zaidi ya hayo jamaa walikuwa wanamwaga unga uwanjani mpaka kwa watangazaji wa TanzaniaNaona Pira Nyau Huna cha kusema, hakuna aliesema Simba haijashinda soma uzi vizuri, Soma na uelewe ushindi wa Nyau ni wao kabisa kihalali kwa sasa tunazungumzia yule mganga na Paka lile shume nyau jesuzi zito sura ka linapuliza moto miondoko ya minyato!
Hawezi jibu maana huyo alikuwa yy mwnyw Sangoma ktk ubora wake, salute kubwaaa bro unatisha.mkuu kwa uelewaa wako una mashaka na yule shabiki aliyeingia uwanjani kama mganga ?
Ni shabiki wa uto yule alitumwa kutuchafua.Daah iv kuna mganga mwenye tumbo vile!?
Naona Pira Nyau Huna cha kusema, hakuna aliesema Simba haijashinda soma uzi vizuri, Soma na uelewe ushindi wa Nyau ni wao kabisa kihalali kwa sasa tunazungumzia yule mganga na Paka lile shume nyau jesuzi zito sura ka linapuliza moto miondoko ya minyato!
Duh hiyo Kali,Vimbwanga vya Utopolo jana nusu fainali na Azam. Kitenge aje asemee na hiliView attachment 1675372View attachment 1675373
Wote ni wale wale.... Paka Biriani = Pira BirianiVimbwanga vya Utopolo jana nusu fainali na Azam. Kitenge aje asemee na hiliView attachment 1675372View attachment 1675373