Nionyeshe uzi ulioanzisha wewe!, na kama mechi haikuonyeshwa wewe ulionaje au ulikua zim ?, Ungeweza kuleta uzi hapa. Bado una nafasi au nyafasi!.Ile mechi ambayo simba alicheza nje haikuonyeshwa mbona hukuanzisha uzi
Unajua nini kilitokea au we ni maulidi kitenge?
Boya kweli ww kama mpira haukuonyeshwa ndo watu wasijue kinachoendelea we ilikuwa husikii mtangazaji anaelezea wanayofanyiwa simba siku ile kama inachoma chomoaNionyeshe uzi ulioanzisha wewe!, na kama mechi haikuonyeshwa wewe ulionaje au ulikua zim ?, Ungeweza kuleta uzi hapa. Bado una nafasi au nyafasi!.
Unateseka ukiwa wapi?..Boya kweli ww kama mpira haukuonyeshwa ndo watu wasijue kinachoendelea we ilikuwa husikii mtangazaji anaelezea wanayofanyiwa simba siku ile kama inachoma chomoa
Sasa kama uliyajua hayo kwanini haukuandika au kwanini haukuanzisha uzi. Tulia leo miminimeona hii ya Paka Shume!Boya kweli ww kama mpira haukuonyeshwa ndo watu wasijue kinachoendelea we ilikuwa husikii mtangazaji anaelezea wanayofanyiwa simba siku ile kama inachoma chomoa
Yanga mnahangaika sana jamhuri wamewashnda mngewaweza platinumSasa kama uliyajua hayo kwanini haukuandika au kwanini haukuanzisha uzi. Tulia leo miminimeona hii ya Paka Shume!
Simba nitiseke tena sio yanga mnaoshindana kuanzisha thread za kuiponda simba toka jana ila matokea hayabadilishwi nendeni CAF kama mlivyofanya kwa morisonUnateseka ukiwa wapi?..
Naona Pira Nyau Huna cha kusema, hakuna aliesema Simba haijashinda soma uzi vizuri, Soma na uelewe ushindi wa Nyau ni wao kabisa kihalali kwa sasa tunazungumzia yule mganga na Paka lile shume nyau jesuzi zito sura ka linapuliza moto miondoko ya minyato!Simba nitiseke tena sio yanga mnaoshindana kuanzisha thread za kuiponda simba toka jana ila matokea hayabadilishwi nendeni CAF kama mlivyofanya kwa morison
mkuu kwa uelewaa wako una mashaka na yule shabiki aliyeingia uwanjani kama mganga ?