Vimbwanga: Shuhudia mganga aliyevamia uwanjani mechi ya Simba

Ile mechi ambayo simba alicheza nje haikuonyeshwa mbona hukuanzisha uzi
Unajua nini kilitokea au we ni maulidi kitenge?
Nionyeshe uzi ulioanzisha wewe!, na kama mechi haikuonyeshwa wewe ulionaje au ulikua zim ?, Ungeweza kuleta uzi hapa. Bado una nafasi au nyafasi!.
 
Paka fc

FB_IMG_1609973034320.jpg
 
Nionyeshe uzi ulioanzisha wewe!, na kama mechi haikuonyeshwa wewe ulionaje au ulikua zim ?, Ungeweza kuleta uzi hapa. Bado una nafasi au nyafasi!.
Boya kweli ww kama mpira haukuonyeshwa ndo watu wasijue kinachoendelea we ilikuwa husikii mtangazaji anaelezea wanayofanyiwa simba siku ile kama inachoma chomoa
 
Boya kweli ww kama mpira haukuonyeshwa ndo watu wasijue kinachoendelea we ilikuwa husikii mtangazaji anaelezea wanayofanyiwa simba siku ile kama inachoma chomoa
Sasa kama uliyajua hayo kwanini haukuandika au kwanini haukuanzisha uzi. Tulia leo miminimeona hii ya Paka Shume!
 
Sasa kama uliyajua hayo kwanini haukuandika au kwanini haukuanzisha uzi. Tulia leo miminimeona hii ya Paka Shume!
Yanga mnahangaika sana jamhuri wamewashnda mngewaweza platinum
 
mshabiki aliamuaa kuwachezea akili wachezaji wa platinum make walikuwa washawin kuwatoa mchezoni waamuz na kidogo simba iingie mkenge
 
Simba nitiseke tena sio yanga mnaoshindana kuanzisha thread za kuiponda simba toka jana ila matokea hayabadilishwi nendeni CAF kama mlivyofanya kwa morison
Naona Pira Nyau Huna cha kusema, hakuna aliesema Simba haijashinda soma uzi vizuri, Soma na uelewe ushindi wa Nyau ni wao kabisa kihalali kwa sasa tunazungumzia yule mganga na Paka lile shume nyau jesuzi zito sura ka linapuliza moto miondoko ya minyato!
 
Back
Top Bottom