Mwanaume unaandika bwanaa weeLakini bwanaa wee boss wetu Ni shabiki kindakindaki wa club ya Simba.
Kenge nyie.
Kwaheri.
Mwanaume unaandika bwanaa wee
Mwanaume unaandika boss wetu
Hilo neno boss wetu wanatajaga kina dada huwezi ongea na simu kwenye usafiri wa umma useme boss wetu huko mkoa nilipo wataomba no zako
We nae ni wale waleAcha kuishi kwa mitazamo
We nae ni wale wale
Nani msomi Sasa hapaMsomi yoyote haogopi kukosolewa sifa kuu ya msomi njoo na fact