vimbaumbau vs vibonge(utaoa yupi?)

vimbaumbau vs vibonge(utaoa yupi?)

Hustler1

Senior Member
Joined
Aug 10, 2018
Posts
116
Reaction score
111
Huenda ni kawa sawa ama la ila tutashea idea pamoja hawa ni viumbe wawili tofauti ebu ona sifa hizi

VIMBAUMBAU

(a)Ni wakorofi hatari
(b)Wana fitina kama ngedere
(c)Wasafi kupindukia
(d) Hawaoni aibu kuzozona na mumuwe
(e)Wepesi kukasirika
(f) Vigumu kulia, macho yanakuwa mekundu ,kanaongea povu kama lote
(g) Hawatongozwi sana so kuchepuka sio rahisi
(h) Wanajua kubana matumizi na ni wacahapa kazi
(i) wengi hawajiamini wanaishi kwa hisia
(J) Havizeeki kirahisi, mtu wa miaka 40 bado binti kabisa
Etc etc………

VIBONGE

(a) Wazembe hatari
(b) Wanajua kubembeleza
(c) Hawana mambo mengi muda wote kucheka tu
(d) Usafi ni changamoto wengi wachafu
(e) Mkikorofishana, ukitoka nje ukaja na ndizi ugomvi unaisha(wanapenda kula)
(f) Kubana matumizi ni changamoto wanajiachia sana
(g) Wanajiamini sana
(H) Wanazeeka haraka

Ongezeni sifa

Tafiti zinasema waliooa vibongo wanaishi maisha marefu Zaidi ya wale waliooa vimbaumbau😀😀😀😀
 
je kimbaooo mbaooo akinenepa na kuwa tukunyemaaaa
 
Nipeni kimbaumbau tu halafu acha dharau kwa taste zetu
 
.... Nina kibonge mmoja nikichelewa kurudi tuu lazima niinunue kuku nusu na chips au ndizi na Serengeti light baridi, hata kama ni saa saba usiku ataamka kugonga....
namba E umenigusa..ni kwl jaman..mm usk hubby akija na nyama ya mbuzi akiambia tu Dogo nimekuletea nyama ya mbuzi usingizi unaondoka wooote khaa
 
.... Nina kibonge mmoja nikichelewa kurudi tuu lazima niinunue kuku nusu na chips au ndizi na Serengeti light baridi, hata kama ni saa saba usiku ataamka kugonga....

Mimi kwwnye nyama nimetekwa..akiniambia amekuja na savana sijibu nalala kimyaaa..ila aseme kuna mbuzi au kuku😂😂😂nafyeka yoootw😂😂😂
 
Kimbau mbau so poa ukikipeleka kila chocho kinaenda full kujiachia
 
Back
Top Bottom