Na kibaya zaidi ni huu uhuni wa kukataa kuwashirikisha raia waliokuwa wanaishi katika maeneo hayo ama kama wadau au walipwe loyalty ya madini yanayopatikana huko. Hili pia limetokea Nyamongo na ndio sababu kuna mvutano wa mara kwa mara. Lakini sitashangaa siku moja kusikia kuwa wakuu wa nchi, kukiwemo mawaziri na rais wetu, wana hisa katika machimbo hayo.