Vilivyo chosha kuvisikia 2013...

Nimechoka haters wa Lara1 kumobject when matters are true,nimechoka kusikia watu kutaka kugegendana tu bila kupendana,nimechoka habari za kukamatwa una cheat,nimechoka script za bongo movie mtu kujifanya yaliomkuta kumbe hayamo,nimechoka kusika thread za wamachame,nmechoka thread za wanafunzi wa chuo kusema wanatakwa na walimu,nmechoka kusikia thread ya mwanaume aliebakwa na mwanamke na hakutosheka,nmechoka watu kupenda pombe,magari,pesa na expenses za bure kwa wanaume,nmechoka thread za watu kutakwa na maboss,nmechoka hadithi za kugegenda mahouse girl.....duh mwishoe nmechoka na mawazo ya kulibadilisha hili taifa which is almost impossible,kero kuu dramas za ccm na kinana,Nape......
 
Nimechoka kusikia watu wakiwaponda watu waliofariki. Wameshatangulia, tuwatakie tu mapumziko mema na sisi tujiangalie mwisho wetu utakuwaje.
 

itabidi urudi kijijini maanake hizi ndio habari za mjini.
 
1. Nimechoka na thread za JF kuhusu wake na wame za watu

2. Nimechoka kuombwa hela na security guards kila mahali ninapopaki gari, wanaona ukiwa na gari tu tayari una hela
 
Nawatakia heri ya mwaka mpya watan zania wote . Ujumbe mabadiliko yasipopatikana ndani ya ccm tuyatafute kwingine
 
Aisee mi sijachoshwa na chochote. .. nakomaa na kila kitu hadi kieleweke jombaa
 

Mengi hivo... pole aisee umechoka...
 
Nimechoka kusikia spika wabunge anatoka chama fulani ifike kipindi spika asiwe na chama
Na wananchi tuwe na uhuru wa kumfukuza kazi mbunge watashika adabu lazma wahamie majimboni kwao
 
kwa kweli nilikuwa mpakani mwa mwaka 2013 na 2014!

nilikuwa mzembe zembe tuu na uvivu kibaaaaooo!

ngoja njianzie kabisaaa huu mwaka, upyaaaa, new error new Excel!!

 
Last edited by a moderator:
Nmechoka Kuckia na kupewa kadi za michango ya harus
Nimechoka Kuckia habar za kikwete na baraza lake la mawazir na posh za wabunge
Nmechoka kuckia habar za kufumaniwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…