Vilivyo chosha kuvisikia 2013...

habari za suicide bombers... there better ways to die kwakweli.
 
Nimechoshwa na wazinifu wanaozini huko wanakojua kisha kuja kuanika uchafu walioufanya humu jamvini.

Wasipokoma Laana ya Muumba wa Mbingu, Dunia na vyote vilivyomo vinavyoonekana na visivyoonekana iwashukie. Aameen
 
Nimechoshwa na wazinifu wanaozini huko wanakojua kisha kuja kuanika uchafu walioufanya humu jamvini.

Wasipokoma Laana ya Muumba wa Mbingu, Dunia na vyote vilivyomo vinavyoonekana na visivyoonekana iwashukie. Aameen

Ati unasemaje?

 
Nimechoshwa na habari za polisi kukamata magaidi wenye mapanga,forceps,rungu na manati.

Nimechoshwa na uswampaji usio na tija wa Jei Kei ughaibuni kama vipi mwaka huu awe anatumia mshahara wake kwa misele yake.
 
Nimechoka kuona thread hii inaendelea... wakati tayari tupo mwaka mwingine
 
Lukuvi apewe ubalozi aisee
kachoosha hadi basi

Nimechoka Mitusi ya wafuasi wa CDM,, mituzi kama baba yako..... mama yako..... Buku saba hiyo...... Lumumba sijui nini..... mitusi hii na mingine mingi ya kitoto imekimbiza watu makini kimya kimya maana chama kinaonekana kama cha kihuni vile!!! umoja wa vijana CDM wadhibiti hili liko ndani ya uwezo wao
 
Nimechoka kusikia division 5 na BRN wakati walimu hawajalipwa madeni yao
 

Aisee hapo umeongea kweli kabisa mimi pia mambo hayo wananikera sana. Pia mini nilikerwa sana na haya:
8. Global publishers na stori za wasanii tu
9. Huu msemo --------- sana na akina dada "umeona eeeeeeee" ulinikera sana
10. Huu msemo pia hasa --------- na akina dada "chezea wewe" lilinikera sana
11. kila kitu mtu kupost fb, mtoto kazaliwa leo tayari anamweka fb. Mtu yuko ofisini anacha kufanya kazi anapiga picha na kuweka fb ilinikera sana
12. watu kuchanganya kiingereza na kiswahili "coz nilimcall akanitell kwamba atacome" huu ni ujinga
13. watu kutumia vifupi vya maneno kupitiliza kama vile "m2", "nimewamic"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…