Vile nilivyompotezea huyu mtoto kimasihara

Vile nilivyompotezea huyu mtoto kimasihara

umeniwai bruh uyu dogo mse.n.g.e kaandika shudu hajui goes around comes around
Acheni kumtisha dogo karma ipi mnayozungumzia???? Hiyo karma labda ndo imekuwa bitch kwa hiyo dada sio dogo huyo dada inaonekana kabisaa anaangalia maslahi tu yyte mwenye mawe ndo anakubali kumpa mbunye dogo wakat yuko kwenye msoto dada kamkataa ni sababu hakumuona ana mawe akawa anatoka na wenye mawe leo dogo nae kaokota vimawemawe vyake dada anaingia kingi simply sababu anaona dogo ana maisha sasa mtu wa namna hii unamfanyann zaid ya kumlambisha dushe na kumwaga chini???? Dogo big up sanaaa this bitch deserve it.
 
Ilikuwa ni mwaka2017 nilipomkuta huyu mtoto katika stationary moja pale dar nikihitaji mahitaji fulani ....

Mtoto nikamwelewa sana but akadai ana mtu wake licha ya kumfukuzia sana basi nikaona isiwe vibaya ikabidi niwe tu friend ili mradi niwe nakula hata kwa macho..

Basi tukazoeana hata akawa anipa story ohh sijui anao guys zaidi ya mmoja na yule atakayekuwa serious ndie atakayemuoa
Hapo moyoni naumia balaa yaani kumbe kuna njemba zaidi ya moja zinanyemelea...

Inshort Mimi Ni wale watu wapole na wakimya ndio maana hata huyu mdada hakuona impact ya Yale aliyokuwa ananiambia coz Mimi huwa mtu akiniona mjinga huwa namuacha ahamini kuwa Mimi Ni mjinga...

Kipindi hicho nilikuwa nasoma chuo kimoja hapo dar but kiukweli sikuwa na maisha ambayo yangemshawishi coz hao jamaa aliokuwa ananisimulia mmoja mtoto wa kishua mwengine mfanya biashara mie na sikufua dafu but nikajipa moyo kuwa mvumilivu huma mbivu ...

Mwaka 2019 nikala shavu shirika moja kubwa mkoani na binti akajua... Mzee nikaona Sasa hebu ngoja nione nilikuwa nakwama wapi. [emoji3].. nikatupia nanga kwa yule yule Cha ajabu mtoto akajaa ...

Tumeenda enda mtoto akaanza kuamini mie nitamuoa but kiukweli mm sikuwa namaanisha nikajua tu na Mimi Niko kwenye ile ORODHA ya wale jamaa nikaamua kupiga chini ... Mtoto amaumia balaa

Inshort Mimi nilitaka tu aumie kama Mimi kipindi namuangaikia hakuonesha kujali hisia zangu leo hii maisha yameninyokea ndio anaonyesha interest

Ushauri: Wadada msiwashobokee sana watoto wa kishua hata sie wapambanaji tunaweza kuwapa maisha mnayo yatamani Ila tatizo Ni muda tu...

Nb: mm Ni mtu fulani hivi ambaye ukinifanyia Jambo ambalo si sahihi huwa lazima nikulipe hata kama tunacheka pamoja huwa si mwepesi wa kuachia Mambo na sifanyi hivyo kwa ubaya Ila huwa nataka ujue tu kuwa dunia inazunguka
Nb: mm Ni mtu fulani hivi ambaye ukinifanyia Jambo ambalo si sahihi huwa lazima nikulipe hata kama tunacheka pamoja huwa si mwepesi wa kuachia Mambo na sifanyi hivyo kwa ubaya Ila huwa nataka ujue tu kuwa dunia inazunguka

Sawa mkuu hongera
 
Back
Top Bottom