Mh hii mpya kwangu Mimi,nakupenda mambo kote ila ya huyu imepitiliza labda alikutania tu,Niliwahi kua kwenye mahusiano na dada mmja Sasa ikawa kila nikienda kula mbususu nakuta hajavaa kyupi...siku moja nikamuuliza kwa nn huvaagi kyupi akanambia Kama ninataka avae kyupi Basi ahamie kwangu..! Nikauliza kwa nn? Akasema akivaa kyupi Sasa ule upande unaoshikilia mbususu isipotee akiguswa tu na hyo kyupi anataka mpini Mara moja Yani akivaa kyupi anakaa tyari tyari inalowa yenyewe tu.
Hvi kweli watu wa hvi wapo tofauti na huyu niliekutana nae au alikua na pepo?
Nilivyo nachukia aibu Mimi jamani..Mi ni enzi hizo niko primary ila sijasahau hadi leo.
Nakumbuka nilikua nachapwa sana ishu ya kutochomekea shati. Asubuhi moja nikaona ili kusolve tatizo acha nichomekee kwenye chupi, hizi za zamani ambazo mnati wake pale kiunoni unakaza kinoma.
Sasa bwana kumbe kaptula imeshuka kitambo na watu wanakaona kachupi kangu kitambo sana na hawaniambii wanaishia kucheka tu, nikaja kuambiwa baadaee na dada flani kua wewe chomekea viziri, daah kucheki chupi limepanda juu na kaptula imeshuka na sikuhisi kitu mda wote na mda ananambia tulikua assemble aisee niliumbuka atari.
πππHii ya huyu mwenzetu umewahi kukutana nayo wapi ya kunyegeleshwa na pichuπ²Mimi hapo tu pamenivutia akii'..!
Kwa hiyo hata chakula ulikikataa, au uliomba msaada kwenye tuta!Tulienda kwenye harusi,muda wa kufungua champagne Mc akatangaza anataka watu nane watu hakuna nikasema ngoja niende na mimi.
Jamani wote champagne zao zilifunguka faster mimi sasa nilijikuta mwenyewe mbele watu wananiangalia na chupa haijafunguka.Niliitikisa ile chupa kama chibuku.
Mpaka kuja kufunguka watu walishachoka kuniangalia,sherehe niliiona chungu sikunyanyuka tena mpaka muda wa kuondoka.
[emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28]Kuna mshkaji wangu anaishi Kawe. Nishawahi kuishi kwao kwa zaidi ya mieizi miwili kwahiyo nazijua njia za maeneo hayo vizuri tu. Kisha nikaondoka Dar kwa zaidi ya mwaka nilivyorudi tena Dar nikawa naishi kwetu sasa nikapanga kwenda kumtembelea mshkaji.
[emoji2][emoji1][emoji28][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nilipita mtaa mmoja hivi Kuna mdada alikuwa amevaa kiahasara alivaa t shirt kubwa sijui ndio gauni limefika magotini ndani hakukuwa na dalili ya kuvaa pichu basi kalibia kila mtu alikuwa anamshangaa na Mimi nikashiriki maandamano nikaungana nao kumuangalia .....hatua kadha nikajikwaa bhana na sendo ikakatika Kuna jamaa akaropoka "....jamaa Hadi sendo yake imekatika" waliosikia wakaningalia wakaanza kucheka ndani ya sekunde kadhaa wote wakawa wananiangalia Mimi . Ile siku nilijisikia aibu Sana
Ila Wewe dharau, ujuaji ni kawaida yako so sishangai, kwa hii post.Kwa mlioko Dar, Poleni kwa mgao wa kuanzia maji, umeme mpaka mapenzi, ila ndugu zangu tutafika kwa Baba tuko hoi sana maskiini, imagine duniani tunateseka hivii na bado huko naskia kuna moto tena..! Nyieeeeeeh'..!
ππππIla sijui unawazaga nini we mtu, umenifurahisha Sana, hata sipati picha aiseeHahahhaaa..
Nimewaza vile imguse mbele za watu aanze kupiga kelele, walaqhi' walaqhi'...!
ππππππNimekushindwaπ π π π π
Nilichotaka niandike hapa dunia ingesimama...! Nitakutumia inbox.!