Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 4,685
- 7,700
Mbona umemzungumzia Musu -K pekee wakati hukuanzia juu?kwahiyo msukuma ndio sababu ya TZ kuwa maskini wa kutupwa?
Hata hivyo,unaijua kazi ya msingi ya huyo Musu -K Bungeni ni nini na wenzie anaofanana nao na umuhimu wa hiyo kazi kwa msitakabali wa Tanganyika?