A E I O U someni kwa furaha! Kisomo chenye manufaa hicho adult learning ujue, hao sio vilaza bali wamejitahidi sana kwa usomaji wa Tanzania na namna ya kuassess. Utasomaje na njaa ya extended family nzima huku ofisini nao wanakung'ang'ania? Unakula kiatu kufuata kitabu library ambako kitabu kipya ni cha 1964? tena nacho unatoka kijijini umelala njiani siku tatu kuifikia library hiyo, ukalale kwa jamaa yako ambaye anataka mpige story usiku kucha halafu urudi nyumbani siku tatu na kama ni mwalimu hujui mshahara wako wa mezi jana utapata mwezi huu au mwezi kesho????? Bora kina mkulo na Dialo na Nchimbi walamua kujichimbia kariakoo na wakaibuka na Penye haba Dili (PhD).