Vikwongwe wa tano wanashindana kwa fani!!!

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Dec 26, 2006
4,184
671
kuna vikongwe watano wanashindana kwa fani

wakata mawe kwa meno na kujaza matumbani

.......

kikwete na wenziwe.jpg
 
Hao hata ukiwaaambia kuwa kule meatu kuna watu wanakufa njaa sidhani kama huo msamiatu unaingia kwenye mitima yao!!!! wananyofoa vipaja tu kudadadeki......:hungry::hungry:
 
Back
Top Bottom