VIKUMBO VYA MIRATHI, SHUHUDA.

VIKUMBO VYA MIRATHI, SHUHUDA.

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,966
Wanajukwaa kwanza poleni kwa majukumu mazito ya ujenzi wa Nchi ya viwanda, bila kupoteza muda naomba twende moja kwa moja kwenye mjadala, ni juu ya shuhuda ya vimbwenga na vikumbo vya mirathi, karibuni tupeane machache wenye shuhuda.
 
Mi nilizilaga vyote nimetafuta vyangu sasa hivi wananiomba niwasaidie zile nyumba za dingi na mashamba na viwanja vyote niliwaachia watifuane mi nikaelekea shule then kazi sasa hivi wananionea aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom