Vikubadilishe au vikuuwe

Vikubadilishe au vikuuwe

Clayton Paul

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
2,130
Reaction score
4,391
1743101006098.jpg

Kwanini Hatujitambui ?
Hili ni swali lilionisumbua kwa kipindi kirefu.

Nimekuwa nikikusanyishwa taarfia Toka utoto ila sikuwa naelewa nitazitumia wapi.

Kama mtoto nilipenda kuzikusanya kwa Matumizi ya baadaye maana kila kitu kwangu kilionekana kipya.
Lakini si Mimi pekee Mana mtindo huu nimeuona hata mashuleni na vyuoni.

Nimeona watu wakifunzwa kurudia kitu kile kile na Kisha wakipimwa wamekariri kwa kiasi gani.
Wakapimwa kwa Alama na zikawapa majina.

Tulijifunza kitu Fulani kinafanya kazi ila hatukufunzwa kilivumbuliwa vipi na ni kipi kilichofanya kikawa na maana Hadi kujifunza.

Tulimwagwa kwenye bwawa la Taarifa nyingi ambazo tusingeweza kubishania na kuzihoji.

Kwa Namna hii hatukuweza kujitambua kisawasawa Wala kufikiri kwaajili yetu. Kiwanda chaFikra ndani yetu kikafa kwamtindo huu. Tukafaulu kufikiri kupitia Mawazo ya wengine.

Na hii ndiyo pattern iliyosakinishwa vichwani mwetu na kupoteza uelewa wa asili.

Kwa uharibifu huu hatufikirii tukiwa tunafikiri.

Hatufikirii tukiwa katika makubaliano na mabishano zaidi ya kufungua karakana ya Hoja za waliowafunza waliotufunza.

Haya yamefanya tumeshindwa kufuatilia hata nyendo zetu huku tukijidanganya tunazifuatilia.

Yote haya ni uzao wa kushindwa kujua Matumizi sahihi ya Maarifa tuliyomwagiwa. Matokeo yake tunaanza kurudia tuliyo ambiwa kupinga hoja fulani au kujadili.

Hata humu ndani kwenye mijadala mingi huwa tunarejea majibu tuliyojazwa bila kuyapima na huu ni muendelezo wa kutojielewa.

Wafu na wafia Mfumo Wana tija katika mfumo pekee nje ya hapo ni uchafu.

Angalia watu wa dini na Wale wa Sayansi wanavyopigania kile walichoaminishwa kikapndikizwa ndani yao Kam ukweli.

Mwisho wa yote wote Hawa wako katika Safari moja ya kuusaka ukweli ambao Mara nyingi upo mbele ya macho Yao.

Shida ni rejea zilizojaa Vichwani ?

Akili zetu zimeenda wapi ?

Au tumeuzwa tukidanganywa tutauza ?

Nani akubadili kwa manufaa yako kipindi ananufaika na wewe kwa manufaa yake ?

Zipo pandikizi tulizowekwa Vichwani ambazo siku zote hutangulia mbele bila Sisi kujua Kama zipo

Pandikizi hizo ni Namna ya kufikiri zinazosafirishwa Toka kwa mtu mmoja Hadi mwingine na zinahakikisha aliyeharibiwa anaharibu wengi zaidi yake kuwa Kama Yeye bila kufahamu anaharibu

Sidhani Kama umepona haya Mana najua Mfumo huu huu umetumika kukutafuna akili zako Hadi ukajikuta Kama wenzako.

Uelewa usio was Asili ni wewe kutumia akili ya mtu katika kujadili nakuliona kila Jambo.
Uelewa usio was Asili ni jela huru ila wengi hujiona wanafikir kwa uelewa was Asili.

Punguza kujibariki na kujitukuza Kama wewe ni miongoni mean wale waliomka kumbe upo Kama Sisi.

Welcome To the System.
GENERATIONAL ATTACK
Welcome To the System.
 
Bustanini kwangu nimepanda miti ya matunda na maua.....

Kila jioni na nipatapo wasaa ninakaa bustanini kuifurahia miti hiyo ,wadudu warukao katika maua na pembeni mabanda yangu ya Njiwa hunituliza macho yangu......

"Scenery" hiyo hunituliza akili na fikra na akili na ninapoondoka pale naisikia sauti kuwa NITII MAMLAKA ZA NCHI....NITII WATAWALA huku nikisubiri mwisho wa maisha yangu......

#Nalipenda Taifa langu Tanzania!
#Napenda bustani na mauwa !
 
View attachment 3285436
Kwanini Hatujitambui ?
Hili ni swali lilionisumbua kwa kipindi kirefu.

Nimekuwa nikikusanyishwa taarfia Toka utoto ila sikuwa naelewa nitazitumia wapi.

Kama mtoto nilipenda kuzikusanya kwa Matumizi ya baadaye maana kila kitu kwangu kilionekana kipya.
Lakini si Mimi pekee Mana mtindo huu nimeuona hata mashuleni na vyuoni.

Nimeona watu wakifunzwa kurudia kitu kile kile na Kisha wakipimwa wamekariri kwa kiasi gani.
Wakapimwa kwa Alama na zikawapa majina.

Tulijifunza kitu Fulani kinafanya kazi ila hatukufunzwa kilivumbuliwa vipi na ni kipi kilichofanya kikawa na maana Hadi kujifunza.

Tulimwagwa kwenye bwawa la Taarifa nyingi ambazo tusingeweza kubishania na kuzihoji.

Kwa Namna hii hatukuweza kujitambua kisawasawa Wala kufikiri kwaajili yetu. Kiwanda chaFikra ndani yetu kikafa kwamtindo huu. Tukafaulu kufikiri kupitia Mawazo ya wengine.

Na hii ndiyo pattern iliyosakinishwa vichwani mwetu na kupoteza uelewa wa asili.

Kwa uharibifu huu hatufikirii tukiwa tunafikiri.

Hatufikirii tukiwa katika makubaliano na mabishano zaidi ya kufungua karakana ya Hoja za waliowafunza waliotufunza.

Haya yamefanya tumeshindwa kufuatilia hata nyendo zetu huku tukijidanganya tunazifuatilia.

Yote haya ni uzao wa kushindwa kujua Matumizi sahihi ya Maarifa tuliyomwagiwa. Matokeo yake tunaanza kurudia tuliyo ambiwa kupinga hoja fulani au kujadili.

Hata humu ndani kwenye mijadala mingi huwa tunarejea majibu tuliyojazwa bila kuyapima na huu ni muendelezo wa kutojielewa.

Wafu na wafia Mfumo Wana tija katika mfumo pekee nje ya hapo ni uchafu.

Angalia watu wa dini na Wale wa Sayansi wanavyopigania kile walichoaminishwa kikapndikizwa ndani yao Kam ukweli.

Mwisho wa yote wote Hawa wako katika Safari moja ya kuusaka ukweli ambao Mara nyingi upo mbele ya macho Yao.

Shida ni rejea zilizojaa Vichwani ?

Akili zetu zimeenda wapi ?

Au tumeuzwa tukidanganywa tutauza ?

Nani akubadili kwa manufaa yako kipindi ananufaika na wewe kwa manufaa yake ?

Zipo pandikizi tulizowekwa Vichwani ambazo siku zote hutangulia mbele bila Sisi kujua Kama zipo

Pandikizi hizo ni Namna ya kufikiri zinazosafirishwa Toka kwa mtu mmoja Hadi mwingine na zinahakikisha aliyeharibiwa anaharibu wengi zaidi yake kuwa Kama Yeye bila kufahamu anaharibu

Sidhani Kama umepona haya Mana najua Mfumo huu huu umetumika kukutafuna akili zako Hadi ukajikuta Kama wenzako.

Uelewa usio was Asili ni wewe kutumia akili ya mtu katika kujadili nakuliona kila Jambo.
Uelewa usio was Asili ni jela huru ila wengi hujiona wanafikir kwa uelewa was Asili.

Punguza kujibariki na kujitukuza Kama wewe ni miongoni mean wale waliomka kumbe upo Kama Sisi.

Welcome To the System.
GENERATIONAL ATTACK
Welcome To the System.
Hata match ikirudiwa CCM watashinda tu. Wachezaji wote kama Ronaldino wapo Dodoma na mvua zinanyesha watapata mavuno mengi kuliko kusomesha wao wameamua kuimba kama Yanga atakuwa bingwa biashara united ataenda kugombea ubungo

Watu hawatampa chagua yeye hata kama anaonekana mrembo bado hawezi cheza mpira majira haya ya baridi si sawa kuoka joto linazidi sana mvua zimejaa na uchaguzi hautafanyika mpaka chadema wasajili wachezaji wakalime mazao bora
 
View attachment 3285436
Kwanini Hatujitambui ?
Hili ni swali lilionisumbua kwa kipindi kirefu.

Nimekuwa nikikusanyishwa taarfia Toka utoto ila sikuwa naelewa nitazitumia wapi.

Kama mtoto nilipenda kuzikusanya kwa Matumizi ya baadaye maana kila kitu kwangu kilionekana kipya.
Lakini si Mimi pekee Mana mtindo huu nimeuona hata mashuleni na vyuoni.

Nimeona watu wakifunzwa kurudia kitu kile kile na Kisha wakipimwa wamekariri kwa kiasi gani.
Wakapimwa kwa Alama na zikawapa majina.

Tulijifunza kitu Fulani kinafanya kazi ila hatukufunzwa kilivumbuliwa vipi na ni kipi kilichofanya kikawa na maana Hadi kujifunza.

Tulimwagwa kwenye bwawa la Taarifa nyingi ambazo tusingeweza kubishania na kuzihoji.

Kwa Namna hii hatukuweza kujitambua kisawasawa Wala kufikiri kwaajili yetu. Kiwanda chaFikra ndani yetu kikafa kwamtindo huu. Tukafaulu kufikiri kupitia Mawazo ya wengine.

Na hii ndiyo pattern iliyosakinishwa vichwani mwetu na kupoteza uelewa wa asili.

Kwa uharibifu huu hatufikirii tukiwa tunafikiri.

Hatufikirii tukiwa katika makubaliano na mabishano zaidi ya kufungua karakana ya Hoja za waliowafunza waliotufunza.

Haya yamefanya tumeshindwa kufuatilia hata nyendo zetu huku tukijidanganya tunazifuatilia.

Yote haya ni uzao wa kushindwa kujua Matumizi sahihi ya Maarifa tuliyomwagiwa. Matokeo yake tunaanza kurudia tuliyo ambiwa kupinga hoja fulani au kujadili.

Hata humu ndani kwenye mijadala mingi huwa tunarejea majibu tuliyojazwa bila kuyapima na huu ni muendelezo wa kutojielewa.

Wafu na wafia Mfumo Wana tija katika mfumo pekee nje ya hapo ni uchafu.

Angalia watu wa dini na Wale wa Sayansi wanavyopigania kile walichoaminishwa kikapndikizwa ndani yao Kam ukweli.

Mwisho wa yote wote Hawa wako katika Safari moja ya kuusaka ukweli ambao Mara nyingi upo mbele ya macho Yao.

Shida ni rejea zilizojaa Vichwani ?

Akili zetu zimeenda wapi ?

Au tumeuzwa tukidanganywa tutauza ?

Nani akubadili kwa manufaa yako kipindi ananufaika na wewe kwa manufaa yake ?

Zipo pandikizi tulizowekwa Vichwani ambazo siku zote hutangulia mbele bila Sisi kujua Kama zipo

Pandikizi hizo ni Namna ya kufikiri zinazosafirishwa Toka kwa mtu mmoja Hadi mwingine na zinahakikisha aliyeharibiwa anaharibu wengi zaidi yake kuwa Kama Yeye bila kufahamu anaharibu

Sidhani Kama umepona haya Mana najua Mfumo huu huu umetumika kukutafuna akili zako Hadi ukajikuta Kama wenzako.

Uelewa usio was Asili ni wewe kutumia akili ya mtu katika kujadili nakuliona kila Jambo.
Uelewa usio was Asili ni jela huru ila wengi hujiona wanafikir kwa uelewa was Asili.

Punguza kujibariki na kujitukuza Kama wewe ni miongoni mean wale waliomka kumbe upo Kama Sisi.

Welcome To the System.
GENERATIONAL ATTACK
Welcome To the System.
Mbona nawe maelezo yako yamekaa kimafumbo fumbo,, kwanini usifunguke ili ueleweke kwa walio wengi?

?
 
Nafikiri serikali ianzishe kamradi fulani mashuleni cha kushape namna ya kufikiri ya wanafunzi.
 
Andiko zuri sana, sema taabu nikuw bado limebaki kwenye mawazo kale. Nikama mtu anakuelezea jinsi ya kutumia maji jangwan ila na yeye hana maji kabisa.

Kwa Tanzania ya sasa, ni vema kuandika maandiko na chini kuwe na njia za kuondokana na tatizo. Mfano wew ulichoandika pia kinaoneka sio chako ila kimetokana na hiyo mifumo ya kuruthi na ndiomana hakina namna bora ya kuachana na hiyo mifumo ya kurithi.
 
Giza gizani palipo totoro na mmpapaso uliolengeshwa ncha za mikuki,Nani atapasua NGOMA ya sikio
 
Kutafakari wewe ni nani husaidi
Kutengeneza njia zako kama radi huokoa.
 
Andiko zuri sana, sema taabu nikuw bado limebaki kwenye mawazo kale. Nikama mtu anakuelezea jinsi ya kutumia maji jangwan ila na yeye hana maji kabisa.

Kwa Tanzania ya sasa, ni vema kuandika maandiko na chini kuwe na njia za kuondokana na tatizo. Mfano wew ulichoandika pia kinaoneka sio chako ila kimetokana na hiyo mifumo ya kuruthi na ndiomana hakina namna bora ya kuachana na hiyo mifumo ya kurithi.
Moja ya njia ya kumponya mtu ni kumueleza kile kinacho mmaliza Kisha Yeye atafahamu fika ni wapi Alikuwa anaanguka hivyo ni jukumu la Yeye kuamua kutoangushwa au kufungwa somo moja Mara mbili au zaidi.
 
View attachment 3285436
Kwanini Hatujitambui ?
Hili ni swali lilionisumbua kwa kipindi kirefu.

Nimekuwa nikikusanyishwa taarfia Toka utoto ila sikuwa naelewa nitazitumia wapi.

Kama mtoto nilipenda kuzikusanya kwa Matumizi ya baadaye maana kila kitu kwangu kilionekana kipya.
Lakini si Mimi pekee Mana mtindo huu nimeuona hata mashuleni na vyuoni.

Nimeona watu wakifunzwa kurudia kitu kile kile na Kisha wakipimwa wamekariri kwa kiasi gani.
Wakapimwa kwa Alama na zikawapa majina.

Tulijifunza kitu Fulani kinafanya kazi ila hatukufunzwa kilivumbuliwa vipi na ni kipi kilichofanya kikawa na maana Hadi kujifunza.

Tulimwagwa kwenye bwawa la Taarifa nyingi ambazo tusingeweza kubishania na kuzihoji.

Kwa Namna hii hatukuweza kujitambua kisawasawa Wala kufikiri kwaajili yetu. Kiwanda chaFikra ndani yetu kikafa kwamtindo huu. Tukafaulu kufikiri kupitia Mawazo ya wengine.

Na hii ndiyo pattern iliyosakinishwa vichwani mwetu na kupoteza uelewa wa asili.

Kwa uharibifu huu hatufikirii tukiwa tunafikiri.

Hatufikirii tukiwa katika makubaliano na mabishano zaidi ya kufungua karakana ya Hoja za waliowafunza waliotufunza.

Haya yamefanya tumeshindwa kufuatilia hata nyendo zetu huku tukijidanganya tunazifuatilia.

Yote haya ni uzao wa kushindwa kujua Matumizi sahihi ya Maarifa tuliyomwagiwa. Matokeo yake tunaanza kurudia tuliyo ambiwa kupinga hoja fulani au kujadili.

Hata humu ndani kwenye mijadala mingi huwa tunarejea majibu tuliyojazwa bila kuyapima na huu ni muendelezo wa kutojielewa.

Wafu na wafia Mfumo Wana tija katika mfumo pekee nje ya hapo ni uchafu.

Angalia watu wa dini na Wale wa Sayansi wanavyopigania kile walichoaminishwa kikapndikizwa ndani yao Kam ukweli.

Mwisho wa yote wote Hawa wako katika Safari moja ya kuusaka ukweli ambao Mara nyingi upo mbele ya macho Yao.

Shida ni rejea zilizojaa Vichwani ?

Akili zetu zimeenda wapi ?

Au tumeuzwa tukidanganywa tutauza ?

Nani akubadili kwa manufaa yako kipindi ananufaika na wewe kwa manufaa yake ?

Zipo pandikizi tulizowekwa Vichwani ambazo siku zote hutangulia mbele bila Sisi kujua Kama zipo

Pandikizi hizo ni Namna ya kufikiri zinazosafirishwa Toka kwa mtu mmoja Hadi mwingine na zinahakikisha aliyeharibiwa anaharibu wengi zaidi yake kuwa Kama Yeye bila kufahamu anaharibu

Sidhani Kama umepona haya Mana najua Mfumo huu huu umetumika kukutafuna akili zako Hadi ukajikuta Kama wenzako.

Uelewa usio was Asili ni wewe kutumia akili ya mtu katika kujadili nakuliona kila Jambo.
Uelewa usio was Asili ni jela huru ila wengi hujiona wanafikir kwa uelewa was Asili.

Punguza kujibariki na kujitukuza Kama wewe ni miongoni mean wale waliomka kumbe upo Kama Sisi.

Welcome To the System.
GENERATIONAL ATTACK
Welcome To the System.
mfuaji come this way 😎
 
Mkuu ungekuwa pia unatoa mifano hai,ingependeza saana,ili ueleweke vyema.
 
Back
Top Bottom