T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,927
- 47,182
Hamas wanachakazwa uko so huna hoja hapaNi kama Hamas ameipiga Israel Us wakiwepo,
North Korea kupitisha makombora juu kumeharibu nini, au uko juu kuna barabara za ndege zinabomoka. Ayadondoshe South aone cha moto. Hakuna vita ya kupitisha makombora juuN.Korea anapitisha makombora juu ya anga la Japan US akiwepo, Russia kavamia ukraine US na NATO wameduwaa na hawana cha kumfanya mpaka leo.
Israel hahitajiki kushambulia base ya Urusi sababu silaha za Urusi hazitumiki dhidi yake. Au labda utueleze ni lini Urusi pale Syria iliwahi shambulia Israel.Kuingia vitani is full of calculations mkuu.
Israel hawez shambulia BASE ya Urussi, na nso maana Iran kashushia ndege hapo.
Israel haishambulii hata hilo jeshi la Syria yenyewe, inadeal na maghala ya Iran na watu wake tu ili silaha zisiende kwa makundi hasi. Hao Syrians wanaokufa ni bahati mbaya na miundombinu ya Syria inayopipgwa ni sababu inatumika na Iran.
Urusi hairuhusu mizigo ya kina Hezbollah na Hamas kupitia kwenye bases zake. Kwani unadhani kila ndege ya Iran inayotua Syria huwa inashambuliwa inacholeta? Kwamba hawanaga ziara, wala mafunzo, wala safari za kiraia wao kila wakishusha ni silaha tu?
Hiyo mifano yote hailingani na Azerbaijan ilivyoipuuza Urusi na umoja wao wa kikanda wa kusaidiana ambapo Azerbaijan, Armenia na Urusi wapo. Armenia imepigwa na wakarudisha ufahamu dhidi ya Azerbaijan na Nagorno Kabarakh ikarejeshwa. Warusi walikuwepo wakilinda amani na kutoa silaha, na zimepigwa.Tuendelee kujifunza mkuu
Hapa Armenia anapewa tag na Urusi na Iran. Kule Azeri anapewa tag na Uturuki na kwa mbali Israel.