Vikosi vya Urusi vyawasili nchini Syria

Vikosi vya Urusi vyawasili nchini Syria

vikosi vya urusi vilienda syria kumlinda Assad, marekani akashambulia na kusambaratisha syria wakati urusi yupo palepale. anachoenda kufanya urusi pale ni kulinda ikulu na rais tu na sio kupigana, hajawahi kusaidia mtu kupigana urusi.
Marekani haijawahi kumshambulia Assad ili kumuua. Assad alivyo hivi ni faida kwa Israel, hapendwi na watu wote hana uwezo wa kuleta maendeleo muda wote ni kuwaza kupigana kutetea utawala wake.
Syria, Jordan na Egypt zikistawi ni hatari kwa Israel maana huwa zinakula njama kuishambulia. Inabidi zikae busy with internal struggles au ziwe na makubaliano na Israel, kati ya hizo tatu ni Syria ndio haina makubaliano na Israel.

Wakati huo ni hatari zaidi kumuondoa Assad sababu nchi itashikwa na Waislamu wenye msimamo mkali ambao watafuga magaidi na wanamgambo dhidi ya Israel. Israel inamtaka sana Assad pale Syria. Tatizo pekee ni Iran kuwatumia Syria sababu ni wanyonge kupitisha silaha kwenda kwa wanamgambo wanaopingana na Israel.
 
unasema nchi itashikwa na waislam wenye msimamo mkali, hao waislam wenye msimamo mkali hakuna anayewaogopa tena, watu wanawatamani wajitokeze tu ili wawafyekelee mbali kama ilivyo kwa ISIS. misri na jordan zimeshajijenga kiuchumi huria na wasingependa cairo na majiji mengine yawe magofu kama Gaza na Damascus. hawawezi kufanya kosa hilo tena. ninachopenda kukuhakikishia ni kwamba, kwa imani ya kiislam, pangelikuwepo taifa lolote lenye uwezo kupigana na israel, wala wasingesita,wangeshalifuta zamani, ila wanaogopa wakilianzisha tu watapoteza maendeleo mengi ambayo wameshayajenga na hawatashinda.

kwa faida ya wengine, hata dunia yote ijumuike kuipiga Israel, hawataishinda kwa sasa. ila upo wakati ambao MUngu mwenyewe ataruhusu, ambao Israel itapigwa na hakuna taifa lolote duniani litakaloisaidia, watabaki peke yao, hata mataifa ya magharibi hawatalisaidia. kuna mataifa ya mashariki yaani Iran, mataifa ya kiarabu, Urusi na China yataiinukia Israel kwa nguvu ambayo haijawahi kutokea, wataisambaratisha na wayahudi wengi watakimbilia milimani huko. hakutakuwa na mwokozi wao mwingine ila Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo, Mungu aliyewaongoza toka Misri kwa kukausha maji ya bahari ya shamu wakapiga, huyo ndiye atashuka na kuwaokoa. Wokovu wake utakuwa wa ajabu sana kwasababu, atanyesha mvua ya mashambulizi ya mvua ya mawe, tetemeko, radi na silaha zake nyingi ambazo hakuna mwanadamu kati ya hayo mataifa atakayestahimili, na 3/4 ya majeshi ya hao washiriki (adui wa Israel) itateketezwa na Mungu mwenyewe, naye atakuwa ameshuka kuwaokoa wayahudi ambao walikuwa wamekata tamaa na kukimbilia milimani, na atawaokoa kama alivyowaahidi katika agano lake na baba zao.

siku hizo ndizo zitakuwa siku za mwishoni kabisa, na kwa bahati mbaya au nzuri, siku hizo zipo karibu sana. Heri wazifuao nguo zao wasijeonekana wa uchi mbele ya Mwanakondoo siku hizo kwasababu wakati wake umekaribia. kipindi kigumu sana kinakuja mbele yetu ambacho watu watasaga meno na kutamani heri wasingelizaliwa, kwasababu tu wamechezea Neema ya Yesu Kristo, unyakuo ukaja na wao wakabaki, na huo ndio mwisho wa neema. Huyu Yesu mnayemkataa ndiye mtakayemtafuta msipate tena kwasababu wakati umeisha na mlango umefungwa. Mungu atusaidie.
 
[emoji298]️ Reuters: War in Ukraine boosting US defense industry.

The U.S. defense industry has seen increased profits as the U.S. has sought new contracts to refill depleted domestic stockpiles and European countries, wary of Russia, have placed new weapons orders, Reuters reported.
MILLITARY INDUSTRIAL COMPLEX
 
⚡️ Reuters: War in Ukraine boosting US defense industry.

The U.S. defense industry has seen increased profits as the U.S. has sought new contracts to refill depleted domestic stockpiles and European countries, wary of Russia, have placed new weapons orders, Reuters reported.
Kwa damu za wa Ukraine USA amepata faida kubwa mno.
Hajali maisha ya watu wengine yeye anachojali na faida TU.
 
[emoji298]️ Reuters: War in Ukraine boosting US defense industry.

The U.S. defense industry has seen increased profits as the U.S. has sought new contracts to refill depleted domestic stockpiles and European countries, wary of Russia, have placed new weapons orders, Reuters reported.
Bado hawajasema
 
Marekani haijawahi kumshambulia Assad ili kumuua. Assad alivyo hivi ni faida kwa Israel, hapendwi na watu wote hana uwezo wa kuleta maendeleo muda wote ni kuwaza kupigana kutetea utawala wake.
Syria, Jordan na Egypt zikistawi ni hatari kwa Israel maana huwa zinakula njama kuishambulia. Inabidi zikae busy with internal struggles au ziwe na makubaliano na Israel, kati ya hizo tatu ni Syria ndio haina makubaliano na Israel.

Wakati huo ni hatari zaidi kumuondoa Assad sababu nchi itashikwa na Waislamu wenye msimamo mkali ambao watafuga magaidi na wanamgambo dhidi ya Israel. Israel inamtaka sana Assad pale Syria. Tatizo pekee ni Iran kuwatumia Syria sababu ni wanyonge kupitisha silaha kwenda kwa wanamgambo wanaopingana na Israel.
So Assad amebaki kwa kuwa US kataka?
Au sijaelewa vizuri?
 
Vikosi vya Urusi havijawahi kuwa kikwazo kwa operations za Israel ndani ya Syria. Ikibainika kuna mzigo wa silaha za Iran umeingia basi mission ya Israel inafanyika kuharibu shenena hiyo.

Azerbaijan imeipiga Armenia vikosi vya Urusi vikiwepo hadi wakakubali mgogoro wao wa miaka zaidi ya 30 uishe.
Na wote tunajua sababu ya Russia kuacha Armenia adundwe.
Wameponzwa na Mdomo wa kiongozi wao.
 
watakachofanya NATO ni kupeleka silaha za kutosha na mbaya ukraine tu, urusi dawa yake ni hiyo. pia, vikosi vyake vya hapo syria ni vichache sana vyaweza kumalizwa ndani ya muda mfupi sana.
Wapeleke mara ngapi si wanapeleka kila siku na bado wanatandikwa
 
watakachofanya NATO ni kupeleka silaha za kutosha na mbaya ukraine tu, urusi dawa yake ni hiyo. pia, vikosi vyake vya hapo syria ni vichache sana vyaweza kumalizwa ndani ya muda mfupi sana.
Hakuna Taifa la Ulaya linaweza kuvamia Russia, Hakuna taifa linaweza kurusha Makombora makubwa Moscow.

Hakuna Ulaya wakashambulia Urussi mpaka Moscow ikaanguka.

Urussi siyo Israel inayoita mpaka JKT kupigana na wanamgambo, Russia anapamba na Ukraine inayofadhiliwa kila kitu na NATO na bado anaendesha operesheni zake nchi zingine.

Israel anasema yuko Vitani but Russia anasema ni Kaoperesheni ka kijeshi dhidi ya ukraine.

Tukiendelea kuiheshimu US pia tunapaswa kuwa na nidhamu na Misuli ya kijeshi ya Soviet.
 
unasema nchi itashikwa na waislam wenye msimamo mkali, hao waislam wenye msimamo mkali hakuna anayewaogopa tena, watu wanawatamani wajitokeze tu ili wawafyekelee mbali kama ilivyo kwa ISIS. misri na jordan zimeshajijenga kiuchumi huria na wasingependa cairo na majiji mengine yawe magofu kama Gaza na Damascus. hawawezi kufanya kosa hilo tena. ninachopenda kukuhakikishia ni kwamba, kwa imani ya kiislam, pangelikuwepo taifa lolote lenye uwezo kupigana na israel, wala wasingesita,wangeshalifuta zamani, ila wanaogopa wakilianzisha tu watapoteza maendeleo mengi ambayo wameshayajenga na hawatashinda.

kwa faida ya wengine, hata dunia yote ijumuike kuipiga Israel, hawataishinda kwa sasa. ila upo wakati ambao MUngu mwenyewe ataruhusu, ambao Israel itapigwa na hakuna taifa lolote duniani litakaloisaidia, watabaki peke yao, hata mataifa ya magharibi hawatalisaidia. kuna mataifa ya mashariki yaani Iran, mataifa ya kiarabu, Urusi na China yataiinukia Israel kwa nguvu ambayo haijawahi kutokea, wataisambaratisha na wayahudi wengi watakimbilia milimani huko. hakutakuwa na mwokozi wao mwingine ila Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo, Mungu aliyewaongoza toka Misri kwa kukausha maji ya bahari ya shamu wakapiga, huyo ndiye atashuka na kuwaokoa. Wokovu wake utakuwa wa ajabu sana kwasababu, atanyesha mvua ya mashambulizi ya mvua ya mawe, tetemeko, radi na silaha zake nyingi ambazo hakuna mwanadamu kati ya hayo mataifa atakayestahimili, na 3/4 ya majeshi ya hao washiriki (adui wa Israel) itateketezwa na Mungu mwenyewe, naye atakuwa ameshuka kuwaokoa wayahudi ambao walikuwa wamekata tamaa na kukimbilia milimani, na atawaokoa kama alivyowaahidi katika agano lake na baba zao.

siku hizo ndizo zitakuwa siku za mwishoni kabisa, na kwa bahati mbaya au nzuri, siku hizo zipo karibu sana. Heri wazifuao nguo zao wasijeonekana wa uchi mbele ya Mwanakondoo siku hizo kwasababu wakati wake umekaribia. kipindi kigumu sana kinakuja mbele yetu ambacho watu watasaga meno na kutamani heri wasingelizaliwa, kwasababu tu wamechezea Neema ya Yesu Kristo, unyakuo ukaja na wao wakabaki, na huo ndio mwisho wa neema. Huyu Yesu mnayemkataa ndiye mtakayemtafuta msipate tena kwasababu wakati umeisha na mlango umefungwa. Mungu atusaidie.
Sote tuna amini katika Mungu mmoja wa kweli.
Ila katika mada hizi ukishaanza kusema Mungu mwenye atairuhusu.......
Sijui hata dunia nzima Ikiungana haitoipiga Israel.
Inapoteza uzito wa Point zako, Geopolitics haihitaji akili ya "kilokole"
 
Vikosi vya Urusi havijawahi kuwa kikwazo kwa operations za Israel ndani ya Syria. Ikibainika kuna mzigo wa silaha za Iran umeingia basi mission ya Israel inafanyika kuharibu shenena hiyo.

Azerbaijan imeipiga Armenia vikosi vya Urusi vikiwepo hadi wakakubali mgogoro wao wa miaka zaidi ya 30 uishe.
Ni kama Hamas ameipiga Israel Us wakiwepo,

N.Korea anapitisha makombora juu ya anga la Japan US akiwepo, Russia kavamia ukraine US na NATO wameduwaa na hawana cha kumfanya mpaka leo.

Kuingia vitani is full of calculations mkuu.

Israel hawez shambulia BASE ya Urussi, na nso maana Iran kashushia ndege hapo.

Tuendelee kujifunza mkuu
 
vikosi vya urusi vilienda syria kumlinda Assad, marekani akashambulia na kusambaratisha syria wakati urusi yupo palepale. anachoenda kufanya urusi pale ni kulinda ikulu na rais tu na sio kupigana, hajawahi kusaidia mtu kupigana urusi.
Wamekariri mkuu
 
Hakuna Taifa la Ulaya linaweza kuvamia Russia, Hakuna taifa linaweza kurusha Makombora makubwa Moscow.

Hakuna Ulaya wakashambulia Urussi mpaka Moscow ikaanguka.

Urussi siyo Israel inayoita mpaka JKT kupigana na wanamgambo, Russia anapamba na Ukraine inayofadhiliwa kila kitu na NATO na bado anaendesha operesheni zake nchi zingine.

Israel anasema yuko Vitani but Russia anasema ni Kaoperesheni ka kijeshi dhidi ya ukraine.

Tukiendelea kuiheshimu US pia tunapaswa kuwa na nidhamu na Misuli ya kijeshi ya Soviet.
Nyongeze pia Russia anachukua tahadhari zote za vita sio kama huyu pusy nyau anarusha mabomu hovyo hovyo
 
Syrian State Media is reporting that the Headquarters for the 112th Mechanized Brigade of the Syrian Army in the City of Nawa has been Attacked by Israeli Combat Aircraft which resulted in Significant Damage and Casualties.
 
Mwanzo 12:2-3

God Bless Israel

🇮🇱🇮🇱🇮🇱
 
BREAKING: Israeli air strikes on targets in southern Syria
 
Back
Top Bottom