Ukifuatilia video zingine sio 4 tu mkuu ni zaidi ya hao kuna pahala walionekana kama 8 hivi . Hao uwaonao hapo ni baada ya kugawanyika kuna ambao walienda upande mwingine. Kuna video nilioona kwenye vijimambo blog nadhani ni kama 4 or 3 days agoTuliambiwa sijui kuna magaidi wangapi,,,,,,,,, kumbe wanne tu?
umeona mkuu wanajeshi na mifuko yao kama wametoka shoping wakati magaidi wapo ndani wanaswali kwa raha zao?
njaa mbaya sana
Yaani aibu khaaa badala ya kuokoa watu wao wanaiba tena mbele ya mtu aliyepoteza maisha BAK hebu njoo uone huku. Hawa ndio wanaolipwa ili kulinda maisha wakenya mweee. wana bahati hawaonekani sura zao mbona ingekua nomaa
Umeona eeeh yaani majangaa. Sasa hapa ndio tunaweza kuanza kujiuliza je ni nani alilipua jengo. Sababu ya kulipua ilikua ni nini n.k.
umeona mkuu wanajeshi na mifuko yao kama wametoka shoping wakati magaidi wapo ndani wanaswali kwa raha zao?