Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 15,389
- 35,859
Bado sana!; hata wao Kwa wao wanageuzana kiblaWatu wanajitaid kujikomboa .mdogo mdogo watafanikiwa
My team ,,gaidi ni yule anaeingia kwenye nchi za watu kwa kutaka kueka mifumo yake ya kidemocrasia marekani ndio gaidi mama dunianiMagaidi yangekuwa yanawachinja Waumini wa Dini nyingine huku yakifoka Allah Akbar!
View attachment 3063825
Ingekuwa pepo.USA=KIRANJA WA DUNIA.
BILA MAREKANI SIJUI DUNIA INGEKUWAJE.