Mkuu
Amavubi tafadhali unapocopy kazi za watu kwenye blog uwe unaandika source yako. Hii habari umeitoa kwenye blog hii ya
VIKOSI MAALUM 10 VYA KIJESHI DUNIANI.
JF ni mtandao mkubwa wa kijamii lakini ni muhimu kuaacknowledge source za nyuzi au uzi ili credit ziende pia kwa wengine walioandaa habari unayoandika.