Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,027
- 20,518
Nikama miujiza! Kwaharaka ukiona nikama vile taasisi ya kulea vikonge ikijiandaa kuwapa msaada wazee hao kwajinzi walivyo na furaha wakiimba nyimbo za kisukuma! Katu kwamacho yangu ya nyama sijaona kijana au mtu wa makamo labda kijana alikuwa ni Nape na mkama. Chanzo tbc Kahama!
Tena si ajabu wanajua Nyerere bado ndo raisi wa Tanzania! No disrespect kwa wazee wetu but I hate to see them used by magamba na kurubuniwa kwa vipande vya Kanga kama tulivoona picha ya Napu akitoa mgao wa kanga Singida. Shame on u magamba stop humiliating our elderly with cheap bribes!!!hao magamba wataendelewa kusapotiwa nawazee coz hao wazee ndo waliioona uzuri wa CCM chini ya mwalimu lakini sisi wengine we've only heard history sasa hivi CCM ni dudu liumalo usijaribu kulipa kidole
Acheni siasa za kitoto kwani vikongwe sio watanzania?Nikama miujiza! Kwaharaka ukiona nikama vile taasisi ya kulea vikonge ikijiandaa kuwapa msaada wazee hao kwajinzi walivyo na furaha wakiimba nyimbo za kisukuma! Katu kwamacho yangu ya nyama sijaona kijana au mtu wa makamo labda kijana alikuwa ni Nape na mkama. Chanzo tbc Bunda!
Acheni siasa za kitoto kwani vikongwe sio watanzania?
slaa ni kijana siowewe ndio uache utoto!mwanasiasa mzuri anayehitaji future nzuri hawekezi kwa vikongwe.
slaa ni kijana sio
mbowe,zitto,mnyika,lissu,lema,j.mbilinyi ni wazee sio.
Wewe ni great thinker I guess!ninaposema kuwekeza kwa vijana namaanisha cdm inahutubia vijana,inavutia vijana
inawapa madaraka vijana,inaenroll vijana e.t.c
vijana ndio wapiga kura wa 2015 na kuendelea kwa hiyo chama kinachopendwa na vijana leo ndio kitakachoshika madaraka kesho(sio ter 18/5/2011)
vikongwe wako ukingoni,kuna mambo mawili; moja hawatakuwepo ifikapo 2015,pili hawatajitokeza kutokana na mikimiki ya uchaguzi.
nasikitika jf imevamiwa na vilaza wasioweza kupambanua mambo.ukitaka nikueleweshe kwa lugha yako ya kihindi ntafanya hivyo!!
Acheni siasa za kitoto kwani vikongwe sio watanzania?
These days ni imekuwa vigumu sana kumobilize vijana. Hao wazee huwa wanapatiwa menu kidogo na sehemu nyingine arrangements zinafanywa wanapata local brew basi life goes on..