Vikao vizito vya CCM kuanza leo

Wakitaka kuachia ngazi,,,,, wamguse mheshimiwa ustaadhi abdallah aka ENL, hapo hakuna atakaesalimika!!!!!

Lowasa ndio jicho pekee linaloangaliwa na wanyonge wote nchini.
 
Wataalam wa documentary anzeni kuaandaa dvd mje mtuuzie maana wakati wa kupindua meza umefika....
 

watanzania tumeshaamua.hatutamchaguwa kiongozi anayetoa rushwa kama lowasa ili apate uongozi.Lowasa hatufai.
 
Wakitaka kuachia ngazi,,,,, wamguse mheshimiwa ustaadhi abdallah aka ENL, hapo hakuna atakaesalimika!!!!!

Lowasa ndio jicho pekee linaloangaliwa na wanyonge wote nchini.

watanzania tumeshaamua.fedha zake kweli tumekula na tunaendelea Kula.lakini hatutamchaguwa kwa sababu anatoa rushwa ili awe kiongozi.Lowasa hatufai ni wa kuogopa kama ukoma.
 
Ccm wanatapatapa, hakuna wa kumshika mwenzie mkono


Wote vipofu.
 

Hivi Wasira ni waziri wa mahusiano na uratibu? Gazeti la serikali, haya ni majanga
 
Safari Njema yenye matumaini, kwa kuwa ndani ya CCM busara ni nyingi kuliko hisia, hakika tutatoka salama salimini na Kada wetu yuleee Mpeendwa atapeperusha Bendera yetu kuelekea pale Magogoni....Sasa kumekucha!!!
 

Kumbe sikujuwa kama mimi siyo Mtanzania!!:-/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…