Vikao vizito vya CCM kuanza leo

Vikao vizito vya CCM kuanza leo

Mkuu unadani ni kazi rahisi kupanda mmea kwenye rami ukamea? Ni vema mkawaza vizuri vinginevyo presha ya moyo mnayo.

ccm ni chama kikubwa hakijaanza kufanya viko leo siku zote kimekuwa kikitoka salama kabisa na maamuzi thabiti yenye tija kwa taifa.

Maamuzi thabiti yenye tija kwa taifa! Kweli we igp wa kichina.
 
Back
Top Bottom