Vijisenti vya makamba vinamuumbua mtikila.

Tikerra

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
1,702
146
Nimezoea kumuona Mtikila akiwa na mbwembwe nyingi katika siasa.Wakati mwingine nilimuona kama mtu mwenye msimamo,na wakati mwingine kama mvurugaji tu wa mambo asiye na hoja za msingi.Katika hoja zake kuhusiana na kifo cha Chacha Wangwe, anaonekana kama mtu anayesukumwa na nguvu fulani
iliyopandikizwa.Tusisahau kuwa Mtikila ni mtu kigeugeu anayeweza kununuliwa kiurahisi.Katika hili tusisahau aibu aliyoipata kwa mhindi yule.Ninalosema ni kwamba, anayosema Mtikila ni vema jamii ikayapima vizuri,kwa vile mara nyingi si yake ila ni ya kupandikizwa.Kuna habari kwamba kapewa vijisenti na Makamba ili awavurugie mambo Chadema.Maskini Mtikila, hivi vijisenti vimemsababishia kipigo na kuumizwa vibaya.Pole sana ndugu yangu.
 
mtikila = makamba kuna tofauti ndogo labda za kimaumbile tu lakini hawa watu ni walewale..........kifo cha wangwe ni km kilivyoonekana kina mashaka lakini huu ushupavu wa hao mapacha ndo unaongeza mashaka zaidi;je
hiki kifo ndo kinataka kuisambalatisha cadema
hki kifo kinatumika kuisambalatisha chadema

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
kwanini Mtikila atushughulishe hadi tugonge vidole vyetu kwenye keyboard kumjadili? Ameishiwa, hana sera, hana jipya ni kibaraka! Achaneni naye.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom