Vijimambo

Kwiyo

Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
64
Reaction score
11
HASARA YA WAZAZI KUTOSOMA!!
MTOTO: Baba eti Botswana iko wapi?
BABA: Angalia itakuwa humo kabatini maana mama yako kwa kuficha vitu
 
HASARA YA WAZAZI KUTOSOMA!!
MTOTO: Baba eti Botswana iko wapi?
BABA: Angalia itakuwa humo kabatini maana mama yako kwa kuficha vitu
kwahiyo kusoma ndio kuijuwa Botswana? wewe unaijuwa mesopotania iko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…