Vije Vitambulisho Vya Wahitimu Waliokosa Ajira

Vije Vitambulisho Vya Wahitimu Waliokosa Ajira

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
8,351
Reaction score
8,088
Ni Mwendo Wa Vitambulisho Tu. Baada Ya Mafanikio Makubwa Kwenye Vitambulisho Vya Wamachinga Vije Na Vya Wahitimu Wasio Na Ajira. Kisingizio Kiwe Kuwatambua Kiurahisi Na Kuwapa Kipaumbele. Kwa 20,000 Kila Kitambulisho Aaah Tutakusanya Za Kutosha.
Ni Vitambulisho Tu Mpaka Tutembee Na Mabegi.
 
Ndo hao wamachinga, ukikosa ajira kuwa mmachinga kalipe 20000/- utambulike.
 
Back
Top Bottom