Vijana wenzangu, tusije kupima DNA tafadhali

Habari za asubuhi... nimeumia sana nilipojaribu kuvaa viatu vya watoto namna watakavyo feel baada ya kugundua kuwa uliwatilia mashaka na ukapima DNA.

Wataumia sana... na mke wako atajisikiaje? Ataona humuamini kabisa. Kwa sisi vijana ambao hatujaoa, tafadhali tukioa au tukiwa na familia tusithubutu huu ujinga wa the so called DNA test, tutaumia

Mwanamke akishakuambia mtoto ni wako, lea, ni haki yako.

Imagine mtoto ana age of 5 unampima, ameshakuzoea na kukupenda, majibu yanatoka si wako, utajisikiaje?

Haya mambo ni mpango wa Ibilisi kuharibu ndoa na familia... ninaomba tuyaache mara moja...si hulka ya Muafrika!.
Huu ni uoga wa kupima ni ujinga na uboya wa Mwafrika tu, hakuna kingine.
Mtoto ana haki zote za kumjua biological father wake ili ajue mizizi yake na ajitambue zaidi.
Kingine ndiyo maana kuna magonjwa hayatibiki, au watu mimba hazishiki sababu wakiulizwa kama ukoo au familia wana asili ya tatizo fulani wanasema hapana wakati kiuhalisia kwa baba yake wa asili/damu hilo tatizo lipo.
Matokeo yake jamii inaendelea kubaki gizani kwa mambo mengi na kuanza kuhisi wamelaaniwa kumbe ni matokeo ya kufichana ukweli.
Ukweli utakuweka huru, lengo la kuujua au kuutafuta ukweli si kumfurahisha mtu bali ni kukupa confudence juu ya kile unachokifanya.
 
kupima DNA ni jambo muhimu kama una mashaka na mkeo wala sio dhambi, unapima kimykimya
 
Mijitu ni mipuuzi, haitaki kuujua ukweli kisa kuna watu watachukia.
Hawa ndiyo wanatoka zile koo zilizokua zikipinga maendeleo , yaani waliokua wanapinga Elimu, Hospital, Mahakama n.k
Sasa hivi vizazi vyao vimeibukia kuendelea kupinga kuujua ukweli na kusisitizia watu wabaki gizani.
 
DNA siyo lazima uchukue mtu akapimwe ukipata nywele au mate kupitia chombo alichotumia vinatosha hivyo ushauri wako hauwezi kufanya kazi
 
Habari za asubuhi... nimeumia sana nilipojaribu kuvaa viatu vya watoto namna watakavyo feel baada ya kugundua kuwa uliwatilia mashaka na ukapima DNA.

Wataumia sana... na mke wako atajisikiaje? Ataona humuamini kabisa. Kwa sisi vijana ambao hatujaoa, tafadhali tukioa au tukiwa na familia tusithubutu huu ujinga wa the so called DNA test, tutaumia

Mwanamke akishakuambia mtoto ni wako, lea, ni haki yako.

Imagine mtoto ana age of 5 unampima, ameshakuzoea na kukupenda, majibu yanatoka si wako, utajisikiaje?

Haya mambo ni mpango wa Ibilisi kuharibu ndoa na familia... ninaomba tuyaache mara moja...si hulka ya Muafrika!.
Na kama unalea si wako si Bora ujue!! Maana mkeo anajua anakuona mjinga, na Kwa sababu hiyo ataendelea kukuona mjinga, pima pasipo mtoto kujua, yeye atajua anapimwa Malaria shida iko wapi, wanawake hawa wa sasa unaogopa kupima??? Huwajui
 
DNA ni hatua ya kwanza ya kumkataa mtoto, hatari ni kubwa unapompima na kukuta ni wako. Unapokuwa na wasiwasi na mtoto, mpime ila tafuta namna mama na mtoto wasijue.
 
Fikiria halafu urudi tena,ndio mana Kuna vituo vya watoto yatima.Familia ni taasisi.Kupima DNA sio ngumu kama unavyofikiria.
 
Habari za asubuhi... nimeumia sana nilipojaribu kuvaa viatu vya watoto namna watakavyo feel baada ya kugundua kuwa uliwatilia mashaka na ukapima DNA.

Wataumia sana... na mke wako atajisikiaje? Ataona humuamini kabisa. Kwa sisi vijana ambao hatujaoa, tafadhali tukioa au tukiwa na familia tusithubutu huu ujinga wa the so called DNA test, tutaumia. Mwanamke akishakuambia mtoto ni wako, lea, ni haki yako.

Imagine mtoto ana age of 5 unampima, ameshakuzoea na kukupenda, majibu yanatoka si wako, utajisikiaje?

Haya mambo ni mpango wa Ibilisi kuharibu ndoa na familia... ninaomba tuyaache mara moja...si hulka ya Muafrika!.
una hali mbaya sana aisee
 
DNA ni hatua ya kwanza ya kumkataa mtoto, hatari ni kubwa unapompima na kukuta ni wako. Unapokuwa na wasiwasi na mtoto, mpime ila tafuta namna mama na mtoto wasijue.
unawezaje kupima kimyakimya? Maana DNA inapimwa kwa amri ya mahakama
 
kipi kinapelekea mtu awe na mashaka hata apime watoto dna? ....ni mwenendo wa mwanamke, huyo ndiye wa kulaumiwa.

Ikiwa mwanaume unaona mienendo ya mkeo au mtindo wake wa maisha anaweza akakubambikiza watoto, na uwezo wa kupima watoto unao wapime wala usijali watajisikiaje.

Wakikua watatmbua kwa nini ulifanya hivyo.
 
unawezaje kupima kimyakimya? Maana DNA inapimwa kwa amri ya mahakama
Hakuna linaloshindikana sababu hizo mashine hazikai mahakamani.

Kuliko nikapime kwa kutengeneza attention mpaka kwa watoto halafu nikute ni wangu ni bora nisipime kabisa.
 
DNA ni hatua ya kwanza ya kumkataa mtoto, hatari ni kubwa unapompima na kukuta ni wako. Unapokuwa na wasiwasi na mtoto, mpime ila tafuta namna mama na mtoto wasijue.
Pia ni hatua ya kwanza kuelekea kuujua ukweli. Kwani kuna shida gani akijua unataka kujua ukweli? Hakuna mtoto atakayeingia kinyongo kwa kitendo hicho. Akiwepo basi atakua ni fala na shoga.

Hata mtoto jaye atakua na uhakuka kuwa huyu ni baba yangu.
 
Shida apo ni ubinafsi tukiondoa tu ubinafsi kulea mtoto wa mwingne wala sio tatizo kubwa sna ni vile tu unaset vipaumbele vyako
 
Pia ni hatua ya kwanza kuelekea kuujua ukweli. Kwani kuna shida gani akijua unataka kujua ukweli? Hakuna mtoto atakayeingia kinyongo kwa kitendo hicho. Akiwepo basi atakua ni fala na shoga.

Hata mtoto jaye atakua na uhakuka kuwa huyu ni baba yangu.
Mtoto hizo akili za ushoga unazozifikiri hana.

Yeye kwake baba sio shahawa, ni mahusiano aliyonayo.

Hata akiambiwa huyu ni baba mlezi na baba mzazi yupo bado atatengeneza mapenzi pengine kuliko baba mzazi iwapo ana mahusiano sahihi na mlezi.

Doa la kukataliwa kwa mtoto sio sawa. Kumueleza tu kuwa baba yako anahisi wewe sio mtoto wake ni tatizo atakaloishi nalo mpaka akiwa mtu mzima akawa na uwezo wa kuchambua mambo.
 
Back
Top Bottom