Vijana Wenzangu Changamkia Fursa hii Kutoka "Institute Of Entrepreneurship Development" (IMED)

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Institute of Management and Entrepreneurship Development (IMED) tunatoa fursa kwa vijana kufanya kazi kwa kujitolea ikiambatana na mafunzo ya diploma ya biashara. Kutokana na changamoto kubwa ya ajira iliyopo tumeona ni vyema kuwaunganisha vijana na waajiri ili kujenga uzoefu na kujiamini kisha jioni waendelee na masomo ya darasani. Fursa hii ni kwa vijana waliomaliza kidato cha sita na wale waliomaliza ngazi ya cheti. Kwa maelezo zaidi piga 0758 460508 au 0718 400884
 
Hii ni Maalumu kwa waliomaliza kidato cha sita na ngazi ya cheti lakini pia kwa waliomaliza degree wanaweza wasiliana nasi kwa namba zilizoandikwa hapo juu.
 
Back
Top Bottom