Vijana wengi kwanini mnapenda kula ugoro?

Vijana wengi kwanini mnapenda kula ugoro?

Kurekebishana tabia hususan kwa vijana wa kiume wengi wao huwa nawaona nikiwa stand za magari pamoja na sehemu za makazi au wanapolinda wamasai.

Vijana wengi huwa wanapenda kula ugoro. Utakuta domo limemvimba utadhani kapigwa ngumi kumbe kajaza ugoro mdomoni.

Enzi za miaka ya nyuma staili ya kula ugoro mara nyingi ilikuwa kwa mabibi na mababu, ila miaka ya hivi karibun vijana nao sijui wanaharibikiwa nanini.

Nimeweka uzi huu ili tupate mawazo na jinsi ya kupata maoni. Ni starehe gani wanapata hawa vijana wa kiume?

Ningependa mtushirikishe kwa mawazo yenu.

Nb matusi hayaruhusiwi.

Kuigaiga vitu wacvyo jua
 
Ugoro ni kilevi pasua kichwa zaidi ya vyote. Kama ndio mara ya kwanza kubwia aiseee ukizidisha lazima uny'ee na kutapika. Unastimu mbovu yenye karaha vibaya sana na huisha haraka sana.
Ila sasa kama unataka kuwa tajiri haraka sana lima tumbaku ya ugoro, sindika na uuze mwenyewe. Ndugu hapana chezea faida yake. Ekali moja ya tumbaku ya ugoro/gozo inaweza kukuzalishia mpaka zaidi ya millioni 15 wakati gharama ya kupanda hekari mpaka kuuza haifiki millioni1.
Mwaka kesho nimejipanga kuanza kulima hii kitu sitaki umasikini mie!

Leo hihii nafungashaa naenda tabora kulima tumbaku ctaki umaskin mieee
 
Jaman tufundishaneee namna ya kupata hela namnaa hii
 
Back
Top Bottom