hivi nicotin si inamadhara kw binadamu?
Bange je?
hivi nicotin si inamadhara kw binadamu?
Bange je?
hivi nicotin si inamadhara kw binadamu?
Ugoro je?
Kurekebishana tabia hususan kwa vijana wa kiume wengi wao huwa nawaona nikiwa stand za magari pamoja na sehemu za makazi au wanapolinda wamasai.
Vijana wengi huwa wanapenda kula ugoro. Utakuta domo limemvimba utadhani kapigwa ngumi kumbe kajaza ugoro mdomoni.
Enzi za miaka ya nyuma staili ya kula ugoro mara nyingi ilikuwa kwa mabibi na mababu, ila miaka ya hivi karibun vijana nao sijui wanaharibikiwa nanini.
Nimeweka uzi huu ili tupate mawazo na jinsi ya kupata maoni. Ni starehe gani wanapata hawa vijana wa kiume?
Ningependa mtushirikishe kwa mawazo yenu.
Nb matusi hayaruhusiwi.
Yap..ugoro umekuwa na soko sana baada ya kuberi kupigwa marufuku kuuzwa madukani au popote,yaani ilitangazwa kama ni mihadharati pia...umeinua maisha ya wamasai sana kwani arusha kwenye wazalishaji wakubwa na ugoro booora kuliko mahali pengine wanatengeneza kwa wingi na kusambaza mikoa mingi,huwa inapunguza hamu ya sigara kwa wavutaji "cronic"..bei ni ya chini na upatikanaji wake ni rahisi mno...nadhan wazalishaji wangetafuta namna ya kui pack vizuri na kui brand kama ilivyokuwa kwa kuberi...kama serikali inapiga vita matumizi ya tumbaku,ianze na wale wazalishaji sio watumiaji,i dont c any logic in stopping users...freedom of choice meen...!
Soda je?Bange je?
Soda je?
Wanauonea sana mmea ambao haujatengenezwa kiwandani wala kuchakachuliwa wala kuongezewa kemikali.Maji je