Chukua cha maana tu
Member
- May 7, 2013
- 49
- 10
Nimekaa na vijana wengi walio ndani ya chama cha mapinduzi CCM wengi wao wapo kimaslahi zaidi na sio uzalendo na nchi hii.
Angalia kipindi hiki kuelekea uchaguzi 2015 wanaangalia pochi la nani limenona wajipendekeze wavune mapesa au kuteuliwa baada ya mgombea kushida hawa hasa wanafunzi wa vyuo na baadhi ya waandishi wa habari.
CHUKUA CHA MAANA.....mengine niachie mwenyewe.