God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
umenena halaf unawaza mbali ww ujanja kama kijana fanya yako mapema ikifika uzeeni tuliaTatizo hawa wazee hawakupiga show wakati wa ujana. walikua busy na maisha sasa hivi ndo wanachepuka wakati mkewe kashafika menopause