Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,172
- Thread starter
- #41
Mwambie mwenyewe, au nikuitie?
Ukiniitia tu utakuwa umemwambia pia.
Mwambie mwenyewe, au nikuitie?
Heee! Kwahiyo ndugu yangu Kaizer anakufikishamo hapo sio? Yani hapo climax kwa hivi???Hatufuati pesa tu, wazee wanajua kucare jamani acheni tu, yaani ni stress free, unapewa penzi haswaaa, alafu wanajua sana kujiachia climax unafikishwa hadi unalia.
Mivijana sasa full stress, mapenzi halijui,pesa halina, kucare napo taabu, unalivumilia nalo linajiotesha mapembe, taabu yoote ya nini. Kaizer where are you, miss you ujue.
Dogo, wazee tumelala........ acha kuamsha mavi ya kale, japo hayanuki lakini ni mbolea.
Orayt.... Ushakojoa?
kalale mama, usiku mkubwa huu.
Nakusubiri PM........................
Acha tu wapate magonjwa c wanajitakia wenyewe
Nimekupenda bure....mungu atakusaidia utapata kazi nzuri.Mkuu umeongea point! Yaan hata mi mitongozo ya waheshimiwa wazee hao ilinikutaga kisa nipate kazi! Mpaka leo hii sina permenent jobs kwa kugoma kwangu japo weng wananiona mshamba...
Nyinyi wazee achen tabia hzo muwapo na pesa au madarakan malipo ni hapahapa duniani bint zenu watagongwa na vizee zaidi ya vizee.
Nimekupenda bure....mungu atakusaidia utapata permenent jobs.Mkuu umeongea point! Yaan hata mi mitongozo ya waheshimiwa wazee hao ilinikutaga kisa nipate kazi! Mpaka leo hii sina permenent jobs kwa kugoma kwangu japo weng wananiona mshamba...
Nyinyi wazee achen tabia hzo muwapo na pesa au madarakan malipo ni hapahapa duniani bint zenu watagongwa na vizee zaidi ya vizee.
Hapo kwenye climax hapana mkuu.....Kinacho wapeleka kwa wazee ni pesa, kupatiwa kazi na kupandishwa cheo. hawa waze sithan kama 6x6 wako vizuri.......akipinga bao moja usingizi unamchukua tofauti na sisi vijana maana damu bado ya moto tukiingia kwenye 6x6 lazima uombe po...Hatufuati pesa tu, wazee wanajua kucare jamani acheni tu, yaani ni stress free, unapewa penzi haswaaa, alafu wanajua sana kujiachia climax unafikishwa hadi unalia.
Mivijana sasa full stress, mapenzi halijui,pesa halina, kucare napo taabu, unalivumilia nalo linajiotesha mapembe, taabu yoote ya nini. Kaizer where are you, miss you ujue.
Hapo kwenye climax hapana mkuu.....Kinacho wapeleka kwa wazee ni pesa, kupatiwa kazi na kupandishwa cheo. hawa waze sithan kama 6x6 wako vizuri.......akipinga bao moja usingizi unamchukua tofauti na sisi vijana maana damu bado ya moto tukiingia kwenye 6x6 lazima uombe po...
Mi naona tu watoto wa kike wanaachiwa UKIMWI tu....maana tatizo lao wanadhani wako peke yao kumbe lizee limewapanga kama mia.COz hana majukumu tena so pesaa ni kuua hawa waodogo zetu
Kuna Mzee yuko kitaani huku mkewe alishatangulia anajulikana kaungua but kimwili yuko pouwa si ana hela. Basi anawaunguzaje hawa watoto wa vyuo mpaka unajiuliza huu UKIMWI utaisha lini
NAkushauri kaangalie kundi la wanaaongoza kwa maambukizi ya VVU, kisha urudi hapa
CC Asprin, atoto Dark City mwekundu Nicas Mtei Mtambuzi Vin Diesel
you are damn so rightMi naona tu watoto wa kike wanaachiwa UKIMWI tu....maana tatizo lao wanadhani wako peke yao kumbe lizee limewapanga kama mia.COz hana majukumu tena so pesaa ni kuua hawa waodogo zetu
Kuna Mzee yuko kitaani huku mkewe alishatangulia anajulikana kaungua but kimwili yuko pouwa si ana hela. Basi anawaunguzaje hawa watoto wa vyuo mpaka unajiuliza huu UKIMWI utaisha lini
Sasa mzee atoke akatafute wazee shambani wakati kila kukicha anapishana na bint kigori mlangoni kwake. Khaa!!!
Acha kila mbuzi ale urefu wa kamba yake.
Hapana kila mbuzi atakula kulingana na eneo alilofungwa kamba inaweza kuwa ndefu lakin nyasi hakuna na inaweza kuwa fupi lakin nyasi za kutosha
NAkushauri kaangalie kundi la wanaaongoza kwa maambukizi ya VVU, kisha urudi hapa
CC Asprin, atoto Dark City mwekundu Nicas Mtei Mtambuzi Vin Diesel
Najua unataka kumpinga jamaa kuwa sio kweli kwamba wazee ndio wanaoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya maambukizi; nakubaliana na wewe kwa hili.
Kwanza unatakiwa kujua kuwa idadi ya vijana ni kubwa kuliko wazee, mzee mmoja anaweza kuwa na vijana hata kumi au hata zaidi ya hapo lakini tunapoangalia kwenye suala la maambukizi ni kuwa wazee hawa wazee ambao wengi wao ndio wameshika mpini kwenye taasisi kubwa za kifedha na wengi wao wamefanikiwa kuliko vijana, hivyo hutumia rasilimali walizonazo kuwarubuni mabinti ili kufanya nao ngono, sasa unakuta kama alivyosema huyo jamaa kuwa unakuta wako wengi kwenye list na hii hata mimi nimeiona sana.
Vijana wengi hawana uwezo wa kutoa huduma ukizingatia kuwa anategemewa au ndio anajipanga kujenga hata nyumba ndogo ya kuanzia maisha hivyo pesa za kuhonga anakuwa hana tofauti na wazee ambao unakuta tayari wamejijenga kimaisha.