Kama magufuli ni mwadilifu basi lowassa ni mtakatifu
Jina la chadema ni taaaamu mpaka ccm wanalitumia kuombea kura.
Chadema ni kama dini,kila mtu anaweza kujiita ni chadema
Vijana hawa ambao wamesambaa kila kona ya Tanzania wanadai Ikulu si mahala pa kukimbilia hata kama huna sifa.Vijana hao wanasema watabakia kuwa chadema lakini kitokana na kipengele cha Uadilifu kutozingatiwa ndani ya chams chao, wao watamchagua kiongozi mwadilifu ambaye ni DrMagufuli.
wacha porojo wee nyumbu mfuata malisho..labda kama unaamini uadilifu ni kupiga dili.Kama magufuli ni mwadilifu basi lowassa ni mtakatifu
Acha kutuongelea sisi vijana waadilifu na wenye nia ya "Mabadiliko" ambao tupo ndani na nje ya CCM..Hatuitaki tena CCM na sasa Tunamchagua Edward Ngoyai Lowassa.Vijana hawa ambao wamesambaa kila kona ya Tanzania wanadai Ikulu si mahala pa kukimbilia hata kama huna sifa.Vijana hao wanasema watabakia kuwa chadema lakini kitokana na kipengele cha Uadilifu kutozingatiwa ndani ya chams chao, wao watamchagua kiongozi mwadilifu ambaye ni DrMagufuli.