kson m
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 6,682
- 3,066
Nikwa sababu wakiristo wanauheshimu mno mfungo huu wa ramadhani.ushahidi ninao marafiki zangu wakiristo wanasema wanaona aibu kunywa pombe mwezi huu hivyo wameamua kuwaunga mkono waislam kwa kutoshiriki pombe na ufuska mwingine.
Tuwe wakweli na ukweli utatuweka huru