Sasa inakuwaje mtu amalize elimu ya kidato cha sita kisha uanze kumfundisha tena yale yale, kama ni suala la computer course wengi wamesoma tangu elimu ya msingi mpaka sekondari, pia hizo communication skills wataenda kufundishwa chuoni huko.
Mkuu wewe unawaza ajira peke yake, suala la kujiajiri kwako halipo kichwani na hauna muda wa kulisemea wala kulijadili.
Hivi kwako miezi mi3 wanayoenda kufundishwa ukakamavu na mbinu za medani kwako ni upuuzi?
Miezi mi3 mbona ni muda mfupi sana usioathiri future yoyote ya mtu?
Kusanyiko la kitaifa wanalolipata hao vijana, kuna kitu wana gain, kuliko wewe uliyebweteka nyuma ya keyboard unakula tu shushi.
Ni upuuzi mkubwa ....!! Sana Sana wanatengeneza vijana wakorofi mtaanmi niliona ni ujinga kwenda kuteswa kwa kigezo eti unafundishwa uzalendo
...hata jkt computer mbona zipo na wanafundishwa...watu wana be trained according to malengo...ungesema huko jkt waongeze masomo including hapo unayotaka ingekuwa poa sana...jkt ina train watu nt only mapigano na ujasiliamal bt also activeness ya mtu....Mnhhhhh …computer course mkuu sema ukweli,toka shule ya msingi?? 😳😳😳
Aise nimeona wahitimu wengi wa Kitanzania wakipitwa na waKenya kwenye Ajira..
Main reason ni English ama Computer skills
Hata vyuoni England Wakenya wako Favoured kwenye vyuo kupata admissions uki compare na waTanzania...
Magufuli angeweka mkazanio kwenye hivi vitu viwili
Haiwezekani
Wanajeshi ni wachache sana, mbinu za kivita hazijawahi kubadilika kinachobadilika ni intelligence.
Zamani za kale hizooo kulikuwa na snipers hadi sasa wapo n.k n.k
Hapa ungeuliza kabla ya kuandika nilikutajia hadi nchi ambayo tumetohoa mfumo wao.
.
Israel kila mwananchi lazima apitie jeshini ni lazima na atakuwa mwanajeshi wa akiba kama asipotaka kuendelea na jeshi kwa robo tatu ya maisha yake yani hili sio ombi.
JKT kuna manufaa mengi unajifunza skills nyingi kilimo ufugaji ujenzi n.k kijana akitoka hapo ana enda kijitegemea ni kama chuo tofauti jkt unapata mafunzo ya kijeshi na nidhamu nadhani umekurupuka kuandika bila kujua JKT ni nini
...hata jkt computer mbona zipo na wanafundishwa...watu wana be trained according to malengo...ungesema huko jkt waongeze masomo including hapo unayotaka ingekuwa poa sana...jkt ina train watu nt only mapigano na ujasiliamal bt also activeness ya mtu....
...ww umepitia jkt kwanza..?Activeness baada ya miezi mitatu unarudi uraiani na kuendelea na maisha yako kama yalivyokua..Activeness is about self-discipline..mtu hakufundishi kuwa active....
Sijajua kama unatania ama ni kweli kama wanafundishwa computer?/
Wakati wa Vita vya kagera ulikuwa na umri gani? Jkt ndio waliovuka mpaka kukimbizana na idd Amin, jkt wakiongozwa mwl Joseph ndio ndio waliowakimbiza walinzi watiifu wa idd Amin ikulu ya Kampala.Hello JF,
in this ever changing world..
is essential people (youth) are equiped with right skills/knowledge...
Nimeona ,wanajeshi wakipasuliwa tofali kichwani 😳 😳 😳
Embu tu discuss wana JF,
How is this supposed to help these young persons?
May be it was adaptive back then...
ila sio sasa…
Jeshi libakie jeshi anayependa aende..
lakini isiwe kigezo cha kupata kazi...
kwanza nchi yetu ina Amani sana,hatuhitaji makomandoo kama 'shoziniga',wale tuliokua tunawaona kwenye TV,😉,
Anyway,
Mie nimewaza,
nikaona hizo hela za kuwalisha,kuwapa malazi vijana wooote hao jeshini..
ingetumika kuwapa right skills/knowledge hao vijana
jeshini vijana wanapoteza umri na mambo ambayo hayawasaidii mbeleni...
ukumbuke ni vijana..MUDA na NGUVU zao zingeweza kuelekezwa kwingine kwenye tija Zaidi...
Mie ningependa badala ya kwenda jeshini, ni vizuri hawa vijana wakapita through smooth transition from Secondary School to University life.
Vitu vitakavyowasaidia shuleni na baadae wanapopata ajira...
Namaanisha,
vijana baada ya kumaliza kidato cha sita,wapate kusoma kompyuta,English(both verbal and written),...strategies such as presentation skills...
( Mengine muongezee),
Am sure hivi vitu vikitiliwa mkazo..vitamsaidia mtu akienda CHUO na hata baadae kwenye AJIRA...
Naelewa sasa hivi vitu especially shule za private zunafundisha hivi vitu with their curriculum
ila bado kuna gap kubwa sana…
hii ingekua official..
Wahitimu wakimaliza University wanakuwa wameiva na relevant skills/knowledge.
Tungekuwa Competent kwenye soko la ajira..
Sio kama sasa hata waKenya wanatunyanyasa..lol
.
Mawazo ya kipumbavuWanajeshi wenyewe tunao tele mpk hawana kazi za kufanya kutwa wanafyeka fyeka tu na kuvusha watoto barabara hlf bado mnalazimisha wengne waingie...
Trust me you guys you're sharing some uniquely feminine InstinctsNimeipenda system ya Nigeria. Kijana akimaliza chuo anafanya Youth Service mwaka mmoja. Unaitumikia serikali kwa mwaka mmoja kwa minimum wage.
Unaweza kupelekwa kijijini au mjini kwenye rud down communities. Unatumia skills zako kusaidia community.
Wewe sema tu hauna sababu ya msingi ya kuwazuia vijana kutokwenda jkt kama ni ishu ya computer semister ya kwanza tu chuo lazima usome computer application.Activeness baada ya miezi mitatu unarudi uraiani na kuendelea na maisha yako kama yalivyokua..Activeness is about self-discipline..mtu hakufundishi kuwa active....
Sijajua kama unatania ama ni kweli kama wanafundishwa computer?/
Utatoka wewe kwenda kuumia na Baridi usiku wamanane kwa ajili yakulinda nchi. Au ulitakaje kwa mfano.Hello JF,
in this ever changing world..
is essential people (youth) are equiped with right skills/knowledge...
Nimeona ,wanajeshi wakipasuliwa tofali kichwani 😳 😳 😳
Embu tu discuss wana JF,
How is this supposed to help these young persons?
May be it was adaptive back then...
ila sio sasa…
Jeshi libakie jeshi anayependa aende..
lakini isiwe kigezo cha kupata kazi...
kwanza nchi yetu ina Amani sana,hatuhitaji makomandoo kama 'shoziniga',wale tuliokua tunawaona kwenye TV,😉,
Anyway,
Mie nimewaza,
nikaona hizo hela za kuwalisha,kuwapa malazi vijana wooote hao jeshini..
ingetumika kuwapa right skills/knowledge hao vijana
jeshini vijana wanapoteza umri na mambo ambayo hayawasaidii mbeleni...
ukumbuke ni vijana..MUDA na NGUVU zao zingeweza kuelekezwa kwingine kwenye tija Zaidi...
Mie ningependa badala ya kwenda jeshini, ni vizuri hawa vijana wakapita through smooth transition from Secondary School to University life.
Vitu vitakavyowasaidia shuleni na baadae wanapopata ajira...
Namaanisha,
vijana baada ya kumaliza kidato cha sita,wapate kusoma kompyuta,English(both verbal and written),...strategies such as presentation skills...
( Mengine muongezee),
Am sure hivi vitu vikitiliwa mkazo..vitamsaidia mtu akienda CHUO na hata baadae kwenye AJIRA...
Naelewa sasa hivi vitu especially shule za private zunafundisha hivi vitu with their curriculum
ila bado kuna gap kubwa sana…
hii ingekua official..
Wahitimu wakimaliza University wanakuwa wameiva na relevant skills/knowledge.
Tungekuwa Competent kwenye soko la ajira..
Sio kama sasa hata waKenya wanatunyanyasa..lol
.
Ukipewa mafunzo kwa vitendo kujiajiri au kuajiriwa ni utashi wa muhusika lakini ni ajabu sana kama umefundishwa stadi za maisha ukashindwa kutoka kimaishaWangapi waliosoma hizo skills jeshini wamejiajiri au kuajiriwa?