Vijana wapewe nguvu ya kiuchumi

Vijana wapewe nguvu ya kiuchumi

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,339
Reaction score
1,493
Mambo Tanzania !
Naomba vijana wapewe fursa ya kuunganishwa kiuchumi yaani wawekwe makundi 6. Wapewe sekta wawekeze na wazisimamie kikamilifu.
Sekta zifuatazo wapewe vijana;

1. Usafirishaji wa ndani ( Mwendokasi na usafiri wote wa Umma nchini)
2. Kilimo (BRT nchi nzima)
3. Madini (Migodi mikubwa yote; Liganga na Mchuchuma, Kanda ya ziwa na Kati)
4. Teknolojia (Mifumo yote iwe chini ya vijana; hata hiyo TTCL na TCRA ziwe chini yao)
5. Ujenzi (Ujenzi wa miundombinu yote ya Umma nchini).
6. Ufugali na Uvuvi (Vyanzo vyote wezeshi vya ardhi na maji viwe chini yao).

NB
Mambo mengine yawe ni 50/50 kwenye sekta zilizobaki kwa usawa wa kijinsia na umri hasa chini ya miaka 35.

Karibuni.
 
Unaomba tu kama unaomba sadaka kanisani, serikali ya mbogamboga haielewi hayo.
 
Umeandika points tupu
ila hii serikale sahau

Vijana kwa sasa wapewe chuma tu

Kwa sasa nipo JAMAICA

BLACKTIGER
 
Tungekuwa na serikali yenye mikakati ya kutosha wala hakuna mtu angepiga kelele. Bangi ni biashara kubwa tu huko duniani
 
Back
Top Bottom