Hata sie tunaojua kuimba Kaswida!!??
nyie ndo wazuri mnakutana kwanza na yesu afu tunaanza kumwimbia,nipm bac number yako
0716638842.. Mpigie huyu jamaa, anaitwa Valentino, he is very talent atakupa baadhi ya kazi zake utamsikia.
mpigie huyu dada anakufaa 0657107073 hata mimi napenda kuimba ila sijui!wapendwa natafta vijana wanaojua kuimba lakini wanaojua kwamba sauti walizopewa na mungu ni kwaajili ya kumuimbia yeye aliyowapa na si vinginevyo, vijana hao wawe waaminifu kwa mungu pia tutaunda kwaya kwa ajili ya kumuimbia mungu kama huwa unapenda kumuimbia mungu madhabahuni kwake na hujapata nafac please nipm mungu akubariki sana, mnisamehe bure nimeweka huku coz mi sio member wa jukwaa la dini na iman asanten
Ashii..hili nalo dili!
powa mkuu nitakutafuta nije nimwimbie mwamba wangu na tegemeo langu Yesu
mpigie huyu dada anakufaa 0657107073 hata mimi napenda kuimba ila sijui!
Wapendwa natafta vijana wanaojua kuimba lakini wanaojua kwamba sauti walizopewa na mungu ni kwaajili ya kumuimbia yeye aliyowapa na si vinginevyo, vijana hao wawe waaminifu kwa mungu pia tutaunda kwaya kwa ajili ya kumuimbia mungu kama huwa unapenda kumuimbia mungu madhabahuni kwake na hujapata nafac please nipm mungu akubariki sana, mnisamehe bure nimeweka huku coz mi sio member wa jukwaa la dini na iman asanten