Vijana wana jukumu la kulikomboa Taifa

Vijana wana jukumu la kulikomboa Taifa

Vijana wapi hao?, Kama ni wa hapa Tanzania basi hakuna hao vijana tunaowaota hapa!, tatizo halikuanza hivi karibuni kwani lilianza zamani toka awamu za mwanzo kabisa, viongozi wajamaa hapa nchini walikuwa wanaongea tu ila ndani ya mioyo yao na vikao vyao ni tofauti, vikaoni huko mathalani vya vyama ilikuwa ni mwendo wa kukubali tu hakuna kupinga, ukipinga au kuleta wazo jipya hata Kama hujatoka nje ya lengo basi jua kabisa mkitoka kikaoni wewe jiandae kwa kupewa kesi na kashkash za hapa na pale au kuondolewa chamani au kuharibiwa kabisa career yako, ujamaa ulikuwa mzuri kwenye Mambo kadhaa ila pia uliharibu kabisa na kupoteza kujiamini kwa vijana wengi na kubaki kulamba mamlaka tu, hali hii ilirithiwa kila awamu hadi kuja kushtuka loooh miaka imeenda na kuzidi kubaki na watu wa ajabu kama sasa...si umeona mwenyewe vijana hao hao wa jana ndiyo wameliingiza taifa kwenye ulimwengu wa corporatocracy.
 
Sio kwamba niliowaorodhesha ni wote la hasha hao ni baadhi tu Ila asante kwa kuniongezea wengine. Kuhusu kuonesha mchango wa vijana wote wa Tanzania waliokuwa shupavu katika ukombozi hilo ni somo pana lengine na sio Tanzania tu hata mataifa hayo yote niliyoyaorodhesha nitaanza kulichambua taifa moja baada jengine na kuongeza na mataifa mengine ya ziada ili kuonesha umuhimu wa vijana katika kuleta ukombozi wa kimwili na kifikra katika Taifa lolote hapa duniani
Mkuu, mimi ningekushauri ujikite kwa vijana wa Tanzania. Hali yetu ni tete sana nyakati hizi.

Utakuwa umetoa mchango wa maana sana kwa vijana wa nchi hii; ambao ni kama wamesambaratika na kuchanganyikiwa kabisa wakati huu.

Hao wengine kutoka kwingine kiwe kibwagizo tu, kama mifano hai wakati ukieleza hali iliyopo kwa vijana wa hapa.
 
Taifa lilishakombolewa 9/12/1961....kwasasa ni jukumu letu kulijenga taifa.

Tatizo moja letu vijana tunalalamika ila hatutimizi wajibu wetu, kijana una miaka 18 hauna kitambulisho cha kupigia kura, na ukiwa nacho hauendi kupiga kura, unaona kabisa hali tuliyo nayo inaweza kubadilishwa na kuweka tick kwenye karatasi ya kupigia kura ila hautimizi wajibu wako.

#Tubadilike.
 
Vijana wapi hao?, Kama ni wa hapa Tanzania basi hakuna hao vijana tunaowaota hapa!, tatizo halikuanza hivi karibuni kwani lilianza zamani toka awamu za mwanzo kabisa, viongozi wajamaa hapa nchini walikuwa wanaongea tu ila ndani ya mioyo yao na vikao vyao ni tofauti, vikaoni huko mathalani vya vyama ilikuwa ni mwendo wa kukubali tu hakuna kupinga, ukipinga au kuleta wazo jipya hata Kama hujatoka nje ya lengo basi jua kabisa mkitoka kikaoni wewe jiandae kwa kupewa kesi na kashkash za hapa na pale au kuondolewa chamani au kuharibiwa kabisa career yako, ujamaa ulikuwa mzuri kwenye Mambo kadhaa ila pia uliharibu kabisa na kupoteza kujiamini kwa vijana wengi na kubaki kulamba mamlaka tu, hali hii ilirithiwa kila awamu hadi kuja kushtuka loooh miaka imeenda na kuzidi kubaki na watu wa ajabu kama sasa...si umeona mwenyewe vijana hao hao wa jana ndiyo wameliingiza taifa kwenye ulimwengu wa corporatocracy.
Well spoken
 
Asante mkuu ni Jambo jema umezungumza ni kweli tunahitaji kuona vijana wengi tunabeba dhamira za ukombozi wa taifa letu ndani ya mioyo yetu lakini hili haliwezi kufanikiwa bila michango yenu ninyi Kama vijana kulifanya hili kuwa ajenda kuu ndani ya JAMIIFORUMS ndipo uamsho wa kiukombozi kwa taifa letu unapaswa kupewa nafasi Sana na unapaswa kuanzia humu kwa kushirikiana na grate thinker wanaopatikana humu jukwaani nyuzi zinazohusu “VIJANA NA UKOMBOZI WA PILI WA TAIFA LA TANZANIA” zinapaswa kuwa nyingi na zenye kutoa elimu kweli kwa vijana ili dhamira ya ukombozi ndani ya taifa letu uweze kufanikiwa.
 
Taifa lilishakombolewa 9/12/1961....kwasasa ni jukumu letu kulijenga taifa.

Tatizo moja letu vijana tunalalamika ila hatutimizi wajibu wetu, kijana una miaka 18 hauna kitambulisho cha kupigia kura, na ukiwa nacho hauendi kupiga kura, unaona kabisa hali tuliyo nayo inaweza kubadilishwa na kuweka tick kwenye karatasi ya kupigia kura ila hautimizi wajibu wako.

#Tubadilike.
Unadhani ukombozi wa taifa letu utaletwa kwa mfumo huu wa uchaguzi [ uchafuzi ] uliopo hapa nchini? . Siku zote hapawezi kutokea Economic revolution kwenye nchi Kama nchi haijafanya kwanza political revolution
 
Vijana wapi hao?, Kama ni wa hapa Tanzania basi hakuna hao vijana tunaowaota hapa!, tatizo halikuanza hivi karibuni kwani lilianza zamani toka awamu za mwanzo kabisa, viongozi wajamaa hapa nchini walikuwa wanaongea tu ila ndani ya mioyo yao na vikao vyao ni tofauti, vikaoni huko mathalani vya vyama ilikuwa ni mwendo wa kukubali tu hakuna kupinga, ukipinga au kuleta wazo jipya hata Kama hujatoka nje ya lengo basi jua kabisa mkitoka kikaoni wewe jiandae kwa kupewa kesi na kashkash za hapa na pale au kuondolewa chamani au kuharibiwa kabisa career yako, ujamaa ulikuwa mzuri kwenye Mambo kadhaa ila pia uliharibu kabisa na kupoteza kujiamini kwa vijana wengi na kubaki kulamba mamlaka tu, hali hii ilirithiwa kila awamu hadi kuja kushtuka loooh miaka imeenda na kuzidi kubaki na watu wa ajabu kama sasa...si umeona mwenyewe vijana hao hao wa jana ndiyo wameliingiza taifa kwenye ulimwengu wa corporatocracy.
Ni kweli utawala wa kwanza ulitengeneza taifa la vijana waoga kwa asilimia kubwa na Mwalimu Nyerere baada ya kung'atuka 1985 alikuja kuona kosa Hilo halilolifinyanga kwa mikono yake yeye mwenyewe
 
Vijana wapi hao?, Kama ni wa hapa Tanzania basi hakuna hao vijana tunaowaota hapa!, tatizo halikuanza hivi karibuni kwani lilianza zamani toka awamu za mwanzo kabisa, viongozi wajamaa hapa nchini walikuwa wanaongea tu ila ndani ya mioyo yao na vikao vyao ni tofauti, vikaoni huko mathalani vya vyama ilikuwa ni mwendo wa kukubali tu hakuna kupinga, ukipinga au kuleta wazo jipya hata Kama hujatoka nje ya lengo basi jua kabisa mkitoka kikaoni wewe jiandae kwa kupewa kesi na kashkash za hapa na pale au kuondolewa chamani au kuharibiwa kabisa career yako, ujamaa ulikuwa mzuri kwenye Mambo kadhaa ila pia uliharibu kabisa na kupoteza kujiamini kwa vijana wengi na kubaki kulamba mamlaka tu, hali hii ilirithiwa kila awamu hadi kuja kushtuka loooh miaka imeenda na kuzidi kubaki na watu wa ajabu kama sasa...si umeona mwenyewe vijana hao hao wa jana ndiyo wameliingiza taifa kwenye ulimwengu wa corporatocracy.
Umeongea vyema Sana👍
 
Back
Top Bottom