DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,392
- 2,599
- Habari Wanajamii wenzangu. Awali ya yote ningependa kumnukuu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Kuhusu jukumu la vijana katika Taifa.
Mwl. Nyerere anasema “Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini , si vijana waoga ,akina ndiyo bwana mkubwa, vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga Vita mfumo wa jamii isiyo shabihiana na matakwa na matalajio ya jamii ya Kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mfumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa”.
- Taifa lolote lenye kuhitaji maendeleo chanya ndani ya jamii pasina shaka linawahitaji vijana walio na utimamu wa mwili na akili ili kuweza kukamilisha hayo.
- Pia taifa lolote lenye kuhitaji ukombozi wa watu wake kimwili na kifikra litawahitaji zaidi vijana wabebe jukumu hilo la kukomboa watu wote kakika nyanja za kifikra na kimwili kwa kuwa vijana wamebeba matumaini mengi ya taifa kuliko watoto na wazee.ndio maana wakati wa harakati za ukombozi wa mataifa mbalimbali kutoka kwenye vifungo vya kikoloni walioshiriki zaidi harakati hizo walikuwa vijana wengi Sana na sio wazee wala watoto.
- Mada yangu imejikita kuonesha ni kiasi gani vijana walibeba matumaini ya ukombozi wa mataifa yao katika umri mdogo kabla na baada ya ukoloni na kupelekea mataifa yao kukomboka Katika namna moja au nyingine katika ngazi ya kiuchumi , kiutawala na hata kupelekea Uhuru wa mataifa yao.
1. MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE🇹🇿
- Mwalimu Kama kijana aliona anajukumu la kuleta ukombozi wa kimwili na kifikra katika Taifa letu hivo akaona ana jukumu la kupigania Uhuru wetu licha ya kuwa na umri mdogo wakati huo alipoanza harakati za kudai Uhuru Tanganyika akiwa na miaka Thelathini na moja [31], zilizo zaa matunda ya kupatikana kwa uhuru.
2. BIBI TITI MOHAMMED🇹🇿
- Licha ya kuwa na umri mdogo wakati huo wa kudai Uhuru hilo haliku mzuia Biti Titi Mohammed yeye Kama kijana wa miaka Ishirini na nane [ 28 ] kuungana na mwalimu Nyerere na kupigania Uhuru wa Tanganyika mpaka kupatikana kwa Uhuru wa Tanganyika.
3. MARTIN LUTHER KING JR🇺🇸
- Pamoja ya kwamba alikuwa na umri wa miaka Ishirini na sita[26].umri huu hakumzui yeye kuanza na kupigania haki za watu weusi katika Taifa la marekani mpaka kuleta ukombozi haki za watu weusi marekani.
4. MAO ZEDONG 🇨🇳
- Akiwa na umri wa miaka Ishirini na nane [ 28 ] Kama kijana alingua na baadhi ya vijana wa kichina na kutengeneza chama Cha kikomunisti na kuanza kupigani Uhuru wa China kutoka mdomoni mwa mabepari wa kichina na kupelekea kushinda Vita hivyo vya ukombozi na kupatikana kwa taifa huru la China.
5. KENNETH KAUNDA🇿🇲
- Katika umri wa miaka Ishirini na tano [25 ] hakukumzui kijana shupavu Kenneth Kaunda kushindwa kuanza harakati za kupigania Uhuru wa Zambia na kufanikisha kupatikana kwa Uhuru wa Zambia.
6. SAMORA MACHEL🇲🇿
- Bwana Samora Machel katika umri wa miaka Ishirini na tisa [ 29 ] alianza harakati za kudai Uhuru wa wanamsumbiji licha ya kuwa kijana mdogo Ila alibeba dhamira za ukombozi wa nchi ya msumbiji.
7. NELSON MANDELA🇿🇦
- Nelson Mandela Kama kijana katika umri wa miaka Thelathini na nne [ 34 ] alianza harakati za kupinga ubaguzi wa rangi na kupigania Uhuru wa watu weusi katika nchi ya Afrka Kusini.
8. THOMAS SANKARA🇧🇫
- Katika umri wa miaka Thelathini na nne [ 34 ] Kama kijana hakukumzuia Thomas Sankara kufanya mapinduzi na kuiondosha utawala uliopo katika nchi ya Burkina Faso ili kuleta maisha Bora kwa wanaburkina faso.
9. PATRICE LUMUMBA🇨🇩
- Licha ya kuwa na umri wa na umri wa miaka na Thelathini na tano [ 35 ] hali ya ukijana haikumzui Patrice Lumumba kushindwa kutetea rasilimali mali za Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo licha ya vitisho vikali alivyokutana navyo lakini aliendelea kutetea maslahi na rasilimali za wanakongo.
10. MU'AMMAR AL-QADHDHĀFĪ🇱🇾
- Gaddafi alibeba dhimira ndani ya moyo wake kuwatetea raia maskini ndani ya Libya hata alipofikia umri wa ukijana wa miaka Ishirini na Saba [ 27 ] ulikuwa Ni umri sahihi kwake kufanya mapinduzi ili kuwatetea wanalibya dhidi ya umasikini uliokuwa unawakabili.
11. GEORGE WASHINGTON🇺🇸
- Katika umri wa ukijana kuelekea umri wa makamo miaka arobaini na tatu [43] ulikuwa ni wakati sahihi kwake kuweza kuunga mkono mapinduzi na kupigania Uhuru wa marekani kutoka kwa Muingereza.
12. ROBERT MUGABE🇿🇼
- Kama kijana wa miaka arobaini [ 40 ] Mugabe aliona anajukumu la kuungana na vijana wengine wakizimbabwe ili kupigania Uhuru wa nchi ya Zimbabwe kutoka kwa Muingereza.
13. MAXIMILIEN ROBESPIERRE🇫🇷
- Katika mapinduzi ya kujikomboa kutoka katika tawala za kiimla hili liliweza kumsukuma kijana Maximilien Robespierre aliyekuwa na umri wa miaka Thelathini na moja [ 31 ] kuongoza mapambano ya kupinga utawala wa kiimla ndani ya nchi ya ufaransa.
14. PARK CHUNG-HEE🇰🇷
- Kamanda Park katika umri wake wa miaka arobaini na nne [ 44 ] hakukumzuia yeye Kama kijana na kuona ni umri sahihi kwake yeye ilikuweza kufanya mapinduzi ambayo yatabadilisha taswira nzima ya kiuchumi Korea ya kusini.
15. VLADIMIR LENIN🇷🇺
- Pamoja na vijana wengine Lenin aliweza kuongoza mapinduzi katika umri wa miaka arobaini na saba [ 47 ] ili kuweza kukomesha tawala ya kiimla ndani ya taifa la urusi na kuunda serikali ya wananchi.
16. LEE KUAN YEW🇸🇬
Licha ya kuwa Kiongozi wa kwanza wa nchi huku akiwa na umri mdogo wa ukijana wa miaka Thelathini na sita [ 36 ] bwana Lee Kuan Yew hio hali haikumfanya kushindwa kuwakomboa Wanasingapore kutoka kwenye dimbwi la umasikini na kuwaletea maendeleo.
Swali: SISI KAMA VIJANA WA KITANZANIA TUNAJUKUMU GANI/TUFANYE NINI ILIKUWEZA KULETA UKOMBOZI WA PILI NDANI YA TAIFA LETU LA TANZANIA?