Vijana wamesimamisha Msafara wa Magufuli

Vijana wamesimamisha Msafara wa Magufuli

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3]
11225376_10153489044489504_4994685304285311844_o.jpg
[/h]
11703505_10153489044609504_7812026589155985373_o.jpg

11226076_10153489044674504_148917999026266235_o.jpg

12091241_10153489044904504_9051242039312683350_o.jpg

12094871_10153489045054504_4302342317836031108_o.jpg

Siku zinavyozidi kwenda mbele ni lazima tujue kuwa ushindi wa Magufuli ni lazima kwasababu mikutano aliyoifanya na idadi ya mikoa aliyoenda pamoja na majimbo aliyofika na vijiji alivyofika kuomba ridhaa ni mara mbili ya sehemu walizofika ukawa hivyo ushindi ni lazima kwa Magufuli. ‪#‎HapaKaziTu‬
‪#‎KijanaWakatiNiWako‬
 
Picha Za Mikutano Yake Tu!! Hao Askari POLISI Nao Walikuja Kumsimamisha!!!?? Wadanganye Hao Hao Wasijitambua!!!
 
Bila shaka waliandaliwa ndio maana wote wako ndani ya sare.

Ungependa wawe wamevaa magwanda ya pipooz?

Hebu tumia akili yako kufikiri japo kidogo.
Unadhani vijana hao wamwkutana naye bahati mbaya?
Ni wazi walijua ratiba yake, kisha wakajiaandaa na kujipanga namna ya kukutana naye katika hiyo ruti yake.

Na kwa kuwa haikuwa kwenye ratiba rasmi lazima wajitofautishe na yale magenge ya chadema ambayo hukaa njiani kwa lengo la kuzomea.

Sijui unaelewa au nianze ule msisitizo wa elimu, elimu, elimu??
 
Hahaha wanawavalisha sare kabisa.
Inamaanisha wameshawaandaa na kuwapa sare.
Maigizi ya CCM yanajulikana hata kwa watu wa kawaida.
 
Ungependa wawe wamevaa magwanda ya pipooz?

Hebu tumia akili yako kufikiri japo kidogo.
Unadhani vijana hao wamwkutana naye bahati mbaya?
Ni wazi walijua ratiba yake, kisha wakajiaandaa na kujipanga namna ya kukutana naye katika hiyo ruti yake.

Na kwa kuwa haikuwa kwenye ratiba rasmi lazima wajitofautishe na yale magenge ya chadema ambayo hukaa njiani kwa lengo la kuzomea.

Sijui unaelewa au nianze ule msisitizo wa elimu, elimu, elimu??
Jozi nimekupenda bure. Umeanza kimagamba ukamalizia kiukawa. Amini kuwa wangejitokeza vijana ambao hawana hizo sare na wakamsimamisha na wakamsikiliza magufuli ingeleta mrejesho chanya zaidi. Halafu kwanini aogope kuzomewa??
 
Nimesema ukweli na hali halisi.
Ni kuminya fikra kufikiria kuwa wale vijana wamekutana na magufuli kwa bahati mbaya kama zali vile.

Na hata wale vijana wanaodeki mabarabara hua sio kwa bahati mbaya.

Uzoefu unaonyesha magufuli si mwoga wa kuzomewa kihivyoo aliwanyooshea vijana wa Mbeya ✌ na kuwaambia Chadema oyee...

Na kama nilivyosema hapo awali, makundi ya kuzomea misafara ya wagombea nayo pia huwa hayatokei kwa bahati mbaya.

Watu wanadhamiria wanajipanga.wanakaa mahali maalumu katika ruti halafu wanajioiga selfie kibao mnato na video na kuzirusha

Ha ha ha
 
Ukawa kwa uongo kutunga hamjambo.Ukitaja marehemu unaanza jina halafu unafuata hilo la mungu amlaze mahali pema peponi.Kaanza kumtaja nyerere akafuatia na hiyo ya kusema mungu amlaze mahali pema kisha akaanza sentensi mpya ya raisi jakaya kikwete mkakata.Unapotaja marehemu huanzi na neno mungu amlaze mahali pema ndio unamtaja.Mmmechemka tafuteni uwongo mwingine ila tarehe 25 octoba tunawanyoa.
 
Ndio maana wanakata kata tuvideo twao mbuzi.
 
Back
Top Bottom