Vijana Wamemuangusha JK; Wasimuangushe Tena

Mkuu Kimbunga tatizo la Tanzania viongozi kutokuwa na maadili na utaifa sio vijana tu hata wazee wengi nao wanapopewa madaraka hawafanyi vizuri mfano tumeona kwa Edrew Chenge, Daniel Yona, Basil Mramba, Mustafa Mkulo.

Baada ya kuona baadhi ya vijana hawafanyi vizuri kaamua kurudi kwa wakongwe kina Abdallah Kigoda, William Mgimwa, Sospeter Muhogo.

Ki ukweli vijana wamemuangusha sana JK kama Ngeleja, Maige, Marsha.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu ritz watu hwataki kuona kwamba vijana siyo tu wamemwangusha JK bali pia wamewaangusha vijana wenzao wa taifa hili hadi vijana waonekane hawafai ati bora wazee kama hao uliowataja. Nadhani hata ile kauli ya JK kwamba anataka akiondoka awaachie vijana uongozi wa nchi huenda ameifuta kimya kimya.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom