Vijana wamelikosea nini hili Taifa?

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Nov 18, 2014
424
1,044
Vijana tunapigwa danadana sana halafu ikifika msimu wa uchaguzi wanatutumia na kutuona tunafaa.

Vijana tutatumika kama CONDOM baada ya goli moja hadi lini ili tuepuke masimango?
 
Vijana tunapigwa danadana sana halafu ikifika msimu wa uchaguzi wanatutumia na kutuona tunafaa.

Vijana tutatumika kama CONDOM baada ya goli moja hadi lini ili tuepuke masimango?
😁 CCM mbelee kwa mbeleee, mwanasiasa anaweza akakwambia ni mchana na unaona ni usiku, akakupa na hoja za ahadi ukakubali kama hivo. Vijana tunatakiwa tuwe wakorofi kwa mambo mengine
 
Back
Top Bottom