Vijana wajibikeni acheni kulialia-WAZEE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana wajibikeni acheni kulialia-WAZEE

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Oct 16, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Katika moja ya masuala ambayo yalijadiliwa jana pale ubungo plaza ni suala la vijana kuwa watu wa kulalamalalama tuu badala ya kuwajibika,mzee Butiku na Warioba waliyaelezea haya mambo kwa kusema kuwa vijana wa sasa ni walalamikaji lakin si wawajibikaji!
  MKAPA nae akaja na yake akawashambulia watanzania kwa x nyingine,alisema watanzania ni wavivu wa kufikiri na matokeo yake wamekua wakilalamika na kuzuazua mambo yasiyo na uhalisia badala ya kujadili mambo muimu kama vile ushindan wa bidhaa za afrika huko ulaya,,,,,,
  nimejiuliza je vijana gani wanaolalamika na hawawajibiki??wajiwajibishe wapi?na wanalalamikia nin?na je wanacholalamikia HAKINA MANTIKI?ni kweli mtoto wa warioba hana ajira?hana mtaji?kweli anaish kwa kuungaunga?
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  umri wa kijana ni kuanzia miaka mingapi hadi mingapi?
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  huanzia15-45
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  labda pia 2napaswa kuwauliza!vijana wa aina gani ambao hawaji2mi
   
 5. M

  Makupa JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ni wale wote ambao wanashinda humu jamvini na kutoa mada zisizokuwa na mshiko na hasa wanazi wa chama kimoja cha upinzani
   
 6. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hawa viongozi wetu walishanusa harufu ya jela ndani ya miaka 10 ijayo, we are working hard to build our country lakini hawa wazee wako busy kuuza kila kitu hata pale ambapo tunaweza kupaendeleza wanatudharau kuwa hatuwezi. Waache kutusingizia vijana, siyo tupo watunge taratibu na sheria zinazolifaidisha taifa na siyo kutuzuga na hizi sera za uwekezaji uchwara wakati wanaonufaika ni hao hao na si taifa.

  Kama kweli wako serious! why are we still talking of water problem which is very important to human life? Why are still having a problem with schools, hospitals and infrastructures like roads, bridges nk? Why are we still having problem with agriculture sector? Why many people are unshuled/uneducated? Nyie wazee wetu acheni huo uharo mnaotaka kutuhubiri, badala yake tungewaona wenye hekima zaidi kama mtasaidia kutuwekea kanuni na taratibhu zanye kuifanya Tz iwe imara zaidi kiuchumi, kiviwanda na intenal market kwa bidhaa zake yenyewe badala ya kutegemea kupeleka ulaya kushindanisha.
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  mi mwenyewe nashangaa. Vijana tunavyojituma hivi halafu wanatudiscourage.
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,323
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  Waliyoyasema kwa kiasi kikubwa yamejaa ukweli. Wengi tunaenda enda bila kuonyesha matumaini yoyote wala nia ya kuhakikisha tubapata yale tunayoyatamani. Tumekuwa waongeaji zaidi kuliko vitendo. Kabla ya kuwashambulia hawa wazee tujipime kama na sisi tupo sawasawa
   
Loading...