TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,735
- 20,775
Wakimaliza masomo wanaunganisha VETA mkuuAsisahau kuwatafutia ajira wakimaliza masomo!!👿

Haya ndio mambo wananchi wanataka sio kelele hewa za maneno matupu ya no reform no electionZaidi ya vijana 1,000 wa Mkoa wa Arusha, leo Machi 26, 2025 wamefika katika ofisi za mkuu wa mkoa huo kwa ajili ya kufanya usaili wa kuwania nafasi za ufadhili wa masomo nchini India.
View attachment 3284040
Vijana hao wamejitokeza kufuatia tangazo la Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuwa Serikali ya India imetoa ufadhili wa masomo kwa vijana 1,000 wa Arusha.
View attachment 3284042Akizungumza wakati wa ufunguzi wa usaili huo, Makonda amesema ufadhili huo utahusisha programu na fani zaidi ya 250, na unasimamiwa na Serikali ya India kupitia kwa Balozi wake nchini Bishwadip Dey.
Soma, Pia: Makonda awatafutia vijana nafasi 1000 za kusoma nchini lndia. Huyu kijana ni kiongozi mbunifu sana, Rais Samia mtumie vizuri Makonda
Makonda amesema fursa hiyo imetokana na juhudi kubwa alizozifanya Rais Samia Suluhu Hassan za kuimarisha uhusiano mzuri na mataifa mbalimbali, juhudi zilizozishawishi nchi kama India kutoa fursa hizo za masomo kwa vijana wa Kitanzania.
"Hii ni fursa adhimu kwa vijana wa Arusha kupata elimu bora nje ya nchi hususani nchini India ambayo inajulikana kwa ubora wa elimu yake katika nyanja mbalimbali," amesema Makonda
Kwa upande wao baadhi ya vijana waliojitokeza wamesena usaili huo ni hatua kubwa kwao katika kufikia malengo yao ya kielimu na kimaendeleo.
Hakika taifa linapitia wakati mgumu sanaTanzania imekuwa ikipeleka wanafunzi nje miaka na miaka. Siku hizi imekuwa ni tukio la kisiasa na kusifiana?
✔️✔️Mambo hayawezi kuwa hivi siku zote. Kuna siku kitu kidogo kabisa kitaanzisha vurugu ambazo itachukuwa miaka na miaka kuzituliza. Huwezi kuwadanganya watu, tena viajana kwa muda wote. Hizi sanaa zao zote hazitafua dafu.
Nchi kama aina serikali kuu kwa sasa.
Waziri wa mambo ya nje yupo wapi, wizara isiwe na habari ya scholarship taahira mmoja awe nazo.
Hao watoto wanaenda kusoma vyuo gani, viko wapi, wanajikimu vipi, quality ya makazi ikoje.
Msiende peleka watoto wa watu huko wakaishia kufanywa slave labours na kunyofolewa mafigo, kisa taahira mmoja anatafuta sifa za kishamba.
Nina unahika kwa nchi kama Tanzania waziri wa mambo ya ndani wala jeshi la polisi kuomba maelezo kutoka kwa Makonda kuhusu usalama wa hao watoto anaotaka kuwapeleka huko wasio na ndugu wala jamaa.
Kwa bahati mbaya kwa nchi za ki Afrika ikiwamo Tanzania watu design ya Makonda,,hupigwa vita sana....manake wamebeba majibu ya wengi.Zaidi ya vijana 1,000 wa Mkoa wa Arusha, leo Machi 26, 2025 wamefika katika ofisi za mkuu wa mkoa huo kwa ajili ya kufanya usaili wa kuwania nafasi za ufadhili wa masomo nchini India.
View attachment 3284040
Vijana hao wamejitokeza kufuatia tangazo la Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuwa Serikali ya India imetoa ufadhili wa masomo kwa vijana 1,000 wa Arusha.
View attachment 3284042Akizungumza wakati wa ufunguzi wa usaili huo, Makonda amesema ufadhili huo utahusisha programu na fani zaidi ya 250, na unasimamiwa na Serikali ya India kupitia kwa Balozi wake nchini Bishwadip Dey.
Soma, Pia: Makonda awatafutia vijana nafasi 1000 za kusoma nchini lndia. Huyu kijana ni kiongozi mbunifu sana, Rais Samia mtumie vizuri Makonda
Makonda amesema fursa hiyo imetokana na juhudi kubwa alizozifanya Rais Samia Suluhu Hassan za kuimarisha uhusiano mzuri na mataifa mbalimbali, juhudi zilizozishawishi nchi kama India kutoa fursa hizo za masomo kwa vijana wa Kitanzania.
"Hii ni fursa adhimu kwa vijana wa Arusha kupata elimu bora nje ya nchi hususani nchini India ambayo inajulikana kwa ubora wa elimu yake katika nyanja mbalimbali," amesema Makonda
Soma: Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya nini kuongeza ushiriki wenye tija na kuwapata viongozi bora wasioendekeza uchawa?
Kwa upande wao baadhi ya vijana waliojitokeza wamesena usaili huo ni hatua kubwa kwao katika kufikia malengo yao ya kielimu na kimaendeleo.
Sana tena sanaHali ya vijana nchi hii ni mbaya sana
Punguza ujuaji weweNchi kama aina serikali kuu kwa sasa.
Waziri wa mambo ya nje yupo wapi, wizara isiwe na habari ya scholarship taahira mmoja awe nazo.
Hao watoto wanaenda kusoma vyuo gani, viko wapi, wanajikimu vipi, quality ya makazi ikoje.
Msiende peleka watoto wa watu huko wakaishia kufanywa slave labours na kunyofolewa mafigo, kisa taahira mmoja anatafuta sifa za kishamba.
Nina unahika kwa nchi kama Tanzania waziri wa mambo ya ndani wala jeshi la polisi awajamwita bado Makonda kuomba maelezo kutoka kuhusu usalama wa hao watoto anaotaka kuwapeleka huko wasio na ndugu wala jamaa.