Vijana wa siku hizi mnakula nini mbona mna "makalio" makubwa?

The Businessman

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
7,397
9,246
Habari,

Yawezekana sio mimi tu ambao nimeona vijana wengi wa KIUME rika ya miaka 17 hadi 26 wamenenepa nyuma yaani wana makalio makubwa tofauti na sie wa zamani kidogo...hivi wanakula nini hawa?
 
Last edited:
Ulaji wa ngano uliopitiliza na kutumia muda kukaa sehemu moja wakiwa wanaendesha magari ndio hupelekea kutuna sehemu za nyuma ambako ndio kuna mkusanyiko mwingi wa nyama na vyakula ndio vinakimbilia huko kwenye utulivu.....matokeo yake inakuwa tabu kuwatofautisha mtu na dada yake wakiwa wameongozana na kukuonyesha mgongo....hasa ukizingatia hii tabia ya kuvaa sarawili zinazobana hasa maeneo ya nyuma.....
 
Last edited:
Wanavaa nguo siyo size zao. Nguo za kubana wawachie wanawake. Utakuta kijana suruali imemchora makalio bado kaweka wallet kubwa nyuma... yani ni kibinda nkoi...
 
Ulaji wa ngano uliopitiliza na kutumia muda kukaa sehemu moja wakiwa wanaendesha magari ndio hupelekea kutuna sehemu za nyuma ambako ndio kuna mkunyiko mwingi wa nyama na vyakula ndio vinakimbilia huko kwenye utulivu.....matokeo yake inakuwa tabu kuwatofautisha mtu na dada yake wakiwa wameongozana na kukuonyesha mgongo....hasa ukizingatia hii tabia ya kuvaa sarawili zinazobana hasa maeneo ya nyuma.....
Mkunyiko tena???
 
Last edited:
Tafiti ya wowowo imefunga mwaka!kimsingi vyakula na mazoezi hawafanyi unaweza kuita psssss!kugeuka kumbe dume aah taabu sana hii.
 
Back
Top Bottom